Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

Hata kama mii ningekuwa rais ningefunga cha maisha kabisa huyo mtu...
Ana chuki binafsi tu
 
Mara eti vitu vimepanda bei
 
Umejiuliza haya maneno angemwambia jpm nazan mngemuokota kwenye mifuko huko ziwan
 
Draconian

Nadhani Tanzania bara ndio nchi pekee duniani ambayo inahitaji kupata uhuru tena kwa raia wake.

CCM sio chama cha siasa tena kwa sasa ni tabaka la wakoloni linaloongozwa na Jakaya Mrisho Kikwete, Bi Tozo ni governor anaefanya kazi kwa niaba yao na vyombo vya judiciary na ulinzi vipo kwa sababu ya kulinda maslahi ya wakoloni sio wananchi.

Shida zaidi hakuna hao wapigania uhuru hivyo vyama vya siasa ndio hovyo kweli kweli sio tu kwamba hawana misimamo, hakuna ata hao watu wenye uwezo wa kuendesha nchi; catch 22.
 
China Kuna udikteta na sheria kali au hata Russia ila mambo mengi inayofanya serikali ni kwa manufaa ya raia wake.
 
Mara eti vitu vimepanda bei
Mbona Roma mkatolik anaimba lakini hatukani Wala kudhalilisha taasisi na Mh. Rais WETU,

Sukuma Gang wamchangie PESA ya faini,
Then atafute hifadhi nchi za nje Kwa sabb Rais ni taasisi,
Kuna watu wameajiliwa ku eliminate Element wasije pita nae....

Cc. Alie mpiga kibao mwinyi
Cc. Yupo wap Alie Jaribu ku mvuta miguu jukwaani JK
 
Jamaa hajatukana kafikisha ujumbe sema vihelehele ndio wamemponza
 
Jamaa nyimb0 nzima analilia Sabuni na mafuta yashuke hahah...
 
Kutukana kosa lake ni FAINI
Ukishindwa FAINI ndiyo unaenda jela.
Huyo faini ni Milion 10,akipata siku yyt anatoka.

Makamanda mchangieni mtu wenu atoke.
waambie wasukuma, makamanda wanajeshi hawahusiki
 
Kama msanii angekuwa na wakili mzuri nadhani hangetiwa hatiani.

Kumtukana Rais maana yake ni nini? Kusema neno la kumshutumu Rais ni kumtukana? Wakili msomi angehoji mashahidi vizuri na mambo yangekuwa tofauti.

Maudhui ya wimbo siyo mazuri. Labda kufungia wimbo ingekuwa sawa lakini kutukana ni ishu tofauti.

Ni aibu kumfunga mwanamuziki kwa msingi wa maneno yaliyoko kwenye wimbo wake. Iko wapi artistic freedom?
 
😂😂😂
😂😂
Mkiambiwa mpelekee Watoto shule hamtaki, haya sasa😀😀. Hayo ndio Matokeo yake.

Kama msanii alishindwaje kuimba Kwa Kutumia Fasihi bila kutamka maneno ya moja Kwa moja?

Pole Sana Dawa, Fasihi haihitaji utumie Hisia kuliko AKILI. Utajikuta matatani.
 
Yani kwa hayo matusi angekuwa Jiwe jamaa asingeonekana tena. Tuna Ben Saanane alihoji PhD akaenda job asubuhi hakurudi tena mwaka wa 6 huu
 
Unajuaje kama kaimba mvaa ushungi wakati nyimbo ni ya kisukuma full.? Uhuru wa maoni uko wapi sasa hapo?

Halafu mmekaa kibwege mnasema Lissu alionewa kupigwa njugu! Alichofanya huyo raia kina tofauti gani na cha Lissu?
Ndo umpige risasi sasa?
 
Sikumbuki hata kama niliwahi onja pombe hata kwa bahati mbaya.
 
Wanafasihi makasuku! Fasihi siyo kasuku ni kioo cha jamii
 

Safi Sana Kwa uandishi mzuri, Uzi umekamilika ngoja niongeze sauti nione michano ya jamaa
 
Kuna namna bora ya kufikisha mawazo mbona Roma kaimba vizuri hakuna anayehangaika nae

Rais yoyote ni taasis na kiongozi wa nchi hapaswi kuogopwa lakini anapaswa kuheshimiwa huyu adhabu aliopewa ingepunguzwa sawa lakini hakuna sheria kandamizi hapo
Rais aliyepatikana kwa wizi wa kura hastahili heshima kihivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…