imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Na wale waliotajatwa kwenye ripoti ya CAG walambwe makalio mara ngapi?Achapwe na viboko 60 vya makalio huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wale waliotajatwa kwenye ripoti ya CAG walambwe makalio mara ngapi?Achapwe na viboko 60 vya makalio huyo
Mara eti vitu vimepanda beiSukuma gang wamchangie na baada ya hapo apewe uhifadhi burundi.......
Rais hatukanwi Wala kudhalilishwa Sijapendezwa na baadhi ya mashairi anaimba kumtukana mara maushungi mara ana mapunye.....mara mashavu makubwa.....
Na watakao mdhamini nao wapewe kesi za uhujumu uchumi.....anasema mama Samia kaiba ndege....hajawai kupanda ndege.....mara mama Samia ni mshamba.....
Sukuma gang hili halikubaliki hii project ime buma.....
Umejiuliza haya maneno angemwambia jpm nazan mngemuokota kwenye mifuko huko ziwanKule ufaransa jamaa alimtandika macron kofi la aina ya UTANITAMBUA na akafungwa miaka 3
nyie tusi hilo miaka 6
KUNA HAJA YA KATIBA MPYA KUONDOA SHERIA KANDAMIZI, RAISI WA TANZANIA NI MUNGU WA PILI KWA KATIBA HII
nawaza kama Jamaa angemtandika kofi samia si angeuuawa
Mbona Roma mkatolik anaimba lakini hatukani Wala kudhalilisha taasisi na Mh. Rais WETU,Mara eti vitu vimepanda bei
waambie wasukuma, makamanda wanajeshi hawahusikiKutukana kosa lake ni FAINI
Ukishindwa FAINI ndiyo unaenda jela.
Huyo faini ni Milion 10,akipata siku yyt anatoka.
Makamanda mchangieni mtu wenu atoke.
Alikuwa anadharau dola, Kwa kuinyenyekea dola ambayo ilishazama!! Sasa huyo tumweke chama Gani!? Ila dola imeshikwa na chama kimoja tangia enzi!!Kipi?
😂😂Msanii wa Nyimbo za asili ya Kisukuma, Dawa Juma mkazi wa Kijiji cha Makurugusi wilayani Chato mkoani Geita, amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya Tsh. Milioni 10 baada ya kupatikana na hatia ya kumtukana rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu wa mahakama ya wilaya Chato, Amalia Mushi, baada ya mshitakiwa kukiri kosa mbele ya mahakama hiyo.
Awali mwendesha mashitaka wakili mwandamizi wa serikali, Robert Magige, ameiambia mahakama hiyo kuwa mshitakiwa alitunga wimbo wenye lengo la kumtukana matusi rais Samia Suluhu Hassan, licha ya kujua wazi kuwa kufanya hivyo ni kosa kisheria.
Amesema akiwa na nia ovu alirekodi wimbo huo na kuusambaza kwenye mitandao ya kijamii ili kupeleka ujumbe wake kwa umma huku akijinadi kuwa haogopi kukamatwa.
Mwendesha mashitaka huyo, amesema kitendo cha kuchapisha taarifa za uongo na matusi kisha kuyasambaza kwenye mitandao ya kijamii (You tube) ni kinyume na kifungu cha 16 cha sheria ya makosa ya mtandao,sheria namba 14 ya mwaka 2015.
Hata hivyo mshitakiwa baada ya kusomewa mashitaka yanayo mkabili amekiri kutenda kosa hilo, licha ya kudai kuwa hakuwa na nia mbaya kwa kuwa alikusudia kuonyesha hali ilivyo mbaya kwa jamii baada ya bidhaa kupanda bei.
Aidha baada ya mshitakiwa kukiri kosa, wakiri wa serikali Magige ameiomba mahakama hiyo kutoa adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine wenye lengo la kumtukana rais kutokana na sababu zao binafsi.
Akitoa hukumu, Hakimu wa mahakama hiyo, amedai kuwa kwa kuzingatia kuwa mshitakiwa hakuisumbua mahakama hiyo, kwa kukiri kosa kwa kinywa chake mwenyewe mahakama inamhukumu kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya shilingi milioni 10.
Hata hivyo mshitakiwa amepelekwa gerezani kuanza kutumikia kifungo chake baada ya kushindwa kulipa faini iliyoelekezwa na mahakama hiyo
Chanzo: Dima Online
=======
Wimbo huo kwa tafsiri ya Kiswahili;
Dawa Dawa
Ubeti wa 1
Leo naongea na Rais mwenye ushungi, Kwanini huvui ushungi?
Au Kichwa chako kina mapunye? Tuambie
Bei ya mafuta ya Kula imepanda, sabuni za kufulia nazo zimepanda bei
Niuze Mkaa nikamatwe, Rais gani huyu Watanzania? Au kwa kuwa hatukumchagua?
Urais kaupata kwa kurithi, punguza bei ya sabuni
Bora Magufuli, alikuwa anatutetea Wanyonge
Tunaomba Rais upunguze bei ya mafuta tuanze hata kununua ya Tsh 100/= na sabuni irudi kwenye bei yake ya Tsh. 300/=
Mimi naitwa Dawa, siogopi kumsema Rais
We Rais wetu ni Mshamba, mwaka kesho hatukuchagui
Umedharauliwa hadi na wanawake kwa sababu umepandisha bei ya bidhaa
Nimeona pia kwa vijana, tusikae tu vijiweni, tukubali kushinda mashambani, tusiombe ombe misaada
Urithi wa mashamba utaendelea kutumaliza
Ubeti wa 2
Muhudumu tupe pombe, pombe pombe bia tamu, wanawake ni watamu, yaani tamu tamu tamuuu
Mke wangu tukilala, yaani nipe ile tamu
Sasa narudi kwenu wasanii, mnaojiita wasanii wakubwa
Mnatuona sisi kama wadogo kama sio wasanii vile
Eleweni sasa kwamba na sisi ni watu, ipo siku tutajulikana pia
Mnajidai sana kwa kuwa ninyi ni wasanii wakubwa, tutambueni na sisi
Bei ya mafuta ya kula imepanda, sabuni za kufulia nazo zimepanda bei
Niuze mkaa nikamatwe, Rais gani huyu Watanzania? Au kwa kuwa hatukumchagua?

Ubeti wa 3
Mimi nimeanza kuja kitofauti, wala msiulize huyu anaimbaje
Wengine wanahoji, hivi huyu dawa ana akili kweli?
Mi nawajibu sina akili, nina nyimbo tu
Chuchumaa chuchumaa
Halafu wasanii wengine wanashinda siku nzima pasipo hata kusikilizwa wimbo mmoja, lakini kazi yao kubwa kujisifu
Wasanii imbeni nyimbo za kuelimisha
Msiwe kama Msanii Madaso wa Chato anayenuka, kila alikoenda kuimba alikuwa anaiba wake za watu,
Inakuwaje watu wanakushabikia lakini wewe unaiba wake zao?
Ndio maana hata usanii wake umekufa, mimi namueleza ukweli
Sasa tambueni dawa kali nimeanza kuimba japo sikuwa msanii mwanzo
Mashabiki wangu endeeleni kunisikiliza mimi msanii wenu dawa
Nipo tayari kuwatetea ndugu zangu maana mnahangaika mno
Ubeti wa 4
Leo nimekuja kuzungumza na Rais Samia, huyo mwenye ushungi
Jamani ndugu zangu tunateswa mno, watu wanaokata mkaa wanakamatwa ovyo mno
Ukiwaza hao askari wanaowakatama wanaupeleka wapi huo mkaa, ni uonevu tu
Nimechunguza nikabaini na wao huwa wanaenda kuuza huo mkaa
Sasa huo sio uonevu?
Wewe Rais mwenye mashavu yako wewe
Niite dawa kali mimi huwa situkani mtu asiye na hatia
Naongea mambo ya kweli
Simuogopi Rais, kama mnaweza njooni mnikamate lakini tayari nimeshazungumza ukweli
Dawa kali mwenyewe mimi ni jeshi, tembea
Ubeti wa 5
Maisha yamekuwa magumu mno, sisi tusio na kazi tulidhani kaja mwanamke atatutetea
Kumbe ni ovyo tu, msimbe huyu
Magufuli alipokufa haikupita hata wiki, ndege 3 zilipotea
Ndege hizo ilitambulika kazipoteza Mkuu wa Majeshi
Ulitaka uzipeleke wapi, wewe mvaa ushungi nakuuliza, nijibu
Yaani tangu uingie madarakani hata mwaka haujamaliza unaiba ndege?
Ulikuwa unazipeleka wapi? Au hakuwahi kupanda ndege kabla?
Nipo radhi kutetea raia wanaoteseka, kuliko kumtetea Rais mwenye ushungi anayetutesa vibaya
Hela zimekuwa ngumu mpaka dada zetu wanajiuza
Wanajiuza sababu ya ugumu wa Maisha, kwani kama hela zinamwagika nani atajiuza?
Ubeti wa Mwisho
DJ simamisha niongee na Mhe. Rais Samia, mbona Mhe. Samia vitu vimepanda bei?
Nataka uniambie ukweli mimi dawa
Au unataka ututoe kafara?
(HAPA SAUTI YA SAMIA INACHEZWA YENYE MANENO YA “WEWE NI KIJANA MIMI NI MAMA, UKINIZINGUA TUTAZINGUANA”)
Huu ndio ujinga sasa ambao mimi naukataa, nakuambia ushushe bei lakini wewe unasema mambo ya kuzinguana?
Hatuogopi kusema sababu hata kura tunapiga sisi, sasa tuogope nini?
Bila sisi utaweza kukalia kiti cha Urais?
Sema sasa wewe mtu mwenye mashavu makubwa, nakuuliza
Siimbi kwa kujificha kwamba nitakamatwa, nikamatwe vipi?
Shusha bei ya mafuta ya kula tupate hata ya Tsh 100/-
Bei ya sabuni irudi kwenye Tsh. 200/-
Hii ndio Audio ya wimbo.
Yani kwa hayo matusi angekuwa Jiwe jamaa asingeonekana tena. Tuna Ben Saanane alihoji PhD akaenda job asubuhi hakurudi tena mwaka wa 6 huuKule ufaransa jamaa alimtandika macron kofi la aina ya UTANITAMBUA na akafungwa miaka 3
nyie tusi hilo miaka 6
KUNA HAJA YA KATIBA MPYA KUONDOA SHERIA KANDAMIZI, RAISI WA TANZANIA NI MUNGU WA PILI KWA KATIBA HII
nawaza kama Jamaa angemtandika kofi samia si angeuuawa
Ndo umpige risasi sasa?Unajuaje kama kaimba mvaa ushungi wakati nyimbo ni ya kisukuma full.? Uhuru wa maoni uko wapi sasa hapo?
Halafu mmekaa kibwege mnasema Lissu alionewa kupigwa njugu! Alichofanya huyo raia kina tofauti gani na cha Lissu?
Sikumbuki hata kama niliwahi onja pombe hata kwa bahati mbaya.sio kweli mbona we unamatusi sana vp huwa unamtukanaga na mama ako.hasa ukilewa we jamaa unakuwa wa hovyo sana juz nimekukuta unatoka kulewa upo chakar mkonon upo na chupa ya chibuku nakuuliza vp pale juu wamefunga, ukajibu ooh we mseengeee,. Kwakwel iliniuma sana leo nakujibu mseeengeee mwenyewe acha matusi au na mm
Wanafasihi makasuku! Fasihi siyo kasuku ni kioo cha jamii😂😂😂
😂😂
Mkiambiwa mpelekee Watoto shule hamtaki, haya sasa😀😀. Hayo ndio Matokeo yake.
Kama msanii alishindwaje kuimba Kwa Kutumia Fasihi bila kutamka maneno ya moja Kwa moja?
Pole Sana Dawa, Fasihi haihitaji utumie Hisia kuliko AKILI. Utajikuta matatani.
Msanii wa Nyimbo za asili ya Kisukuma, Dawa Juma mkazi wa Kijiji cha Makurugusi wilayani Chato mkoani Geita, amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya Tsh. Milioni 10 baada ya kupatikana na hatia ya kumtukana rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu wa mahakama ya wilaya Chato, Amalia Mushi, baada ya mshitakiwa kukiri kosa mbele ya mahakama hiyo.
Awali mwendesha mashitaka wakili mwandamizi wa serikali, Robert Magige, ameiambia mahakama hiyo kuwa mshitakiwa alitunga wimbo wenye lengo la kumtukana matusi rais Samia Suluhu Hassan, licha ya kujua wazi kuwa kufanya hivyo ni kosa kisheria.
Amesema akiwa na nia ovu alirekodi wimbo huo na kuusambaza kwenye mitandao ya kijamii ili kupeleka ujumbe wake kwa umma huku akijinadi kuwa haogopi kukamatwa.
Mwendesha mashitaka huyo, amesema kitendo cha kuchapisha taarifa za uongo na matusi kisha kuyasambaza kwenye mitandao ya kijamii (You tube) ni kinyume na kifungu cha 16 cha sheria ya makosa ya mtandao,sheria namba 14 ya mwaka 2015.
Hata hivyo mshitakiwa baada ya kusomewa mashitaka yanayo mkabili amekiri kutenda kosa hilo, licha ya kudai kuwa hakuwa na nia mbaya kwa kuwa alikusudia kuonyesha hali ilivyo mbaya kwa jamii baada ya bidhaa kupanda bei.
Aidha baada ya mshitakiwa kukiri kosa, wakiri wa serikali Magige ameiomba mahakama hiyo kutoa adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine wenye lengo la kumtukana rais kutokana na sababu zao binafsi.
Akitoa hukumu, Hakimu wa mahakama hiyo, amedai kuwa kwa kuzingatia kuwa mshitakiwa hakuisumbua mahakama hiyo, kwa kukiri kosa kwa kinywa chake mwenyewe mahakama inamhukumu kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya shilingi milioni 10.
Hata hivyo mshitakiwa amepelekwa gerezani kuanza kutumikia kifungo chake baada ya kushindwa kulipa faini iliyoelekezwa na mahakama hiyo
Chanzo: Dima Online
=======
Wimbo huo kwa tafsiri ya Kiswahili;
Dawa Dawa
Ubeti wa 1
Leo naongea na Rais mwenye ushungi, Kwanini huvui ushungi?
Au Kichwa chako kina mapunye? Tuambie
Bei ya mafuta ya Kula imepanda, sabuni za kufulia nazo zimepanda bei
Niuze Mkaa nikamatwe, Rais gani huyu Watanzania? Au kwa kuwa hatukumchagua?
Urais kaupata kwa kurithi, punguza bei ya sabuni
Bora Magufuli, alikuwa anatutetea Wanyonge
Tunaomba Rais upunguze bei ya mafuta tuanze hata kununua ya Tsh 100/= na sabuni irudi kwenye bei yake ya Tsh. 300/=
Mimi naitwa Dawa, siogopi kumsema Rais
We Rais wetu ni Mshamba, mwaka kesho hatukuchagui
Umedharauliwa hadi na wanawake kwa sababu umepandisha bei ya bidhaa
Nimeona pia kwa vijana, tusikae tu vijiweni, tukubali kushinda mashambani, tusiombe ombe misaada
Urithi wa mashamba utaendelea kutumaliza
Ubeti wa 2
Muhudumu tupe pombe, pombe pombe bia tamu, wanawake ni watamu, yaani tamu tamu tamuuu
Mke wangu tukilala, yaani nipe ile tamu
Sasa narudi kwenu wasanii, mnaojiita wasanii wakubwa
Mnatuona sisi kama wadogo kama sio wasanii vile
Eleweni sasa kwamba na sisi ni watu, ipo siku tutajulikana pia
Mnajidai sana kwa kuwa ninyi ni wasanii wakubwa, tutambueni na sisi
Bei ya mafuta ya kula imepanda, sabuni za kufulia nazo zimepanda bei
Niuze mkaa nikamatwe, Rais gani huyu Watanzania? Au kwa kuwa hatukumchagua?
Urais kaupata kwa kurithi, punguza bei ya sabuni
Bora Magufuli, alikuwa anatutetea Wanyonge
Ubeti wa 3
Mimi nimeanza kuja kitofauti, wala msiulize huyu anaimbaje
Wengine wanahoji, hivi huyu dawa ana akili kweli?
Mi nawajibu sina akili, nina nyimbo tu
Chuchumaa chuchumaa
Halafu wasanii wengine wanashinda siku nzima pasipo hata kusikilizwa wimbo mmoja, lakini kazi yao kubwa kujisifu
Wasanii imbeni nyimbo za kuelimisha
Msiwe kama Msanii Madaso wa Chato anayenuka, kila alikoenda kuimba alikuwa anaiba wake za watu,
Inakuwaje watu wanakushabikia lakini wewe unaiba wake zao?
Ndio maana hata usanii wake umekufa, mimi namueleza ukweli
Sasa tambueni dawa kali nimeanza kuimba japo sikuwa msanii mwanzo
Mashabiki wangu endeeleni kunisikiliza mimi msanii wenu dawa
Nipo tayari kuwatetea ndugu zangu maana mnahangaika mno
Ubeti wa 4
Leo nimekuja kuzungumza na Rais Samia, huyo mwenye ushungi
Jamani ndugu zangu tunateswa mno, watu wanaokata mkaa wanakamatwa ovyo mno
Ukiwaza hao askari wanaowakatama wanaupeleka wapi huo mkaa, ni uonevu tu
Nimechunguza nikabaini na wao huwa wanaenda kuuza huo mkaa
Sasa huo sio uonevu?
Wewe Rais mwenye mashavu yako wewe
Niite dawa kali mimi huwa situkani mtu asiye na hatia
Naongea mambo ya kweli
Simuogopi Rais, kama mnaweza njooni mnikamate lakini tayari nimeshazungumza ukweli
Dawa kali mwenyewe mimi ni jeshi, tembea
Ubeti wa 5
Maisha yamekuwa magumu mno, sisi tusio na kazi tulidhani kaja mwanamke atatutetea
Kumbe ni ovyo tu, msimbe huyu
Magufuli alipokufa haikupita hata wiki, ndege 3 zilipotea
Ndege hizo ilitambulika kazipoteza Mkuu wa Majeshi
Ulitaka uzipeleke wapi, wewe mvaa ushungi nakuuliza, nijibu
Yaani tangu uingie madarakani hata mwaka haujamaliza unaiba ndege?
Ulikuwa unazipeleka wapi? Au hakuwahi kupanda ndege kabla?
Nipo radhi kutetea raia wanaoteseka, kuliko kumtetea Rais mwenye ushungi anayetutesa vibaya
Hela zimekuwa ngumu mpaka dada zetu wanajiuza
Wanajiuza sababu ya ugumu wa Maisha, kwani kama hela zinamwagika nani atajiuza?
Ubeti wa Mwisho
DJ simamisha niongee na Mhe. Rais Samia, mbona Mhe. Samia vitu vimepanda bei?
Nataka uniambie ukweli mimi dawa
Au unataka ututoe kafara?
(HAPA SAUTI YA SAMIA INACHEZWA YENYE MANENO YA “WEWE NI KIJANA MIMI NI MAMA, UKINIZINGUA TUTAZINGUANA”)
Huu ndio ujinga sasa ambao mimi naukataa, nakuambia ushushe bei lakini wewe unasema mambo ya kuzinguana?
Hatuogopi kusema sababu hata kura tunapiga sisi, sasa tuogope nini?
Bila sisi utaweza kukalia kiti cha Urais?
Sema sasa wewe mtu mwenye mashavu makubwa, nakuuliza
Siimbi kwa kujificha kwamba nitakamatwa, nikamatwe vipi?
Shusha bei ya mafuta ya kula tupate hata ya Tsh 100/-
Bei ya sabuni irudi kwenye Tsh. 200/-
Hii ndio Audio ya wimbo.
SMsanii wa Nyimbo za asili ya Kisukuma, Dawa Juma mkazi wa Kijiji cha Makurugusi wilayani Chato mkoani Geita, amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya Tsh. Milioni 10 baada ya kupatikana na hatia ya kumtukana rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan.

Safi Sana Kwa uandishi mzuri, Uzi umekamilika ngoja niongeze sauti nione michano ya jamaaMsanii wa Nyimbo za asili ya Kisukuma, Dawa Juma mkazi wa Kijiji cha Makurugusi wilayani Chato mkoani Geita, amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya Tsh. Milioni 10 baada ya kupatikana na hatia ya kumtukana rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan.

Rais aliyepatikana kwa wizi wa kura hastahili heshima kihivyoKuna namna bora ya kufikisha mawazo mbona Roma kaimba vizuri hakuna anayehangaika nae
Rais yoyote ni taasis na kiongozi wa nchi hapaswi kuogopwa lakini anapaswa kuheshimiwa huyu adhabu aliopewa ingepunguzwa sawa lakini hakuna sheria kandamizi hapo