Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

Kule ufaransa jamaa alimtandika macron kofi la aina ya UTANITAMBUA na akafungwa miaka 3

nyie tusi hilo miaka 6

KUNA HAJA YA KATIBA MPYA KUONDOA SHERIA KANDAMIZI, RAISI WA TANZANIA NI MUNGU WA PILI KWA KATIBA HII

nawaza kama Jamaa angemtandika kofi samia si angeuuawa
Kuna namna bora ya kufikisha mawazo mbona Roma kaimba vizuri hakuna anayehangaika nae

Rais yoyote ni taasis na kiongozi wa nchi hapaswi kuogopwa lakini anapaswa kuheshimiwa huyu adhabu aliopewa ingepunguzwa sawa lakini hakuna sheria kandamizi hapo
 
Kule ufaransa jamaa alimtandika macron kofi la aina ya UTANITAMBUA na akafungwa miaka 3

nyie tusi hilo miaka 6

KUNA HAJA YA KATIBA MPYA KUONDOA SHERIA KANDAMIZI, RAISI WA TANZANIA NI MUNGU WA PILI KWA KATIBA HII

nawaza kama Jamaa angemtandika kofi samia si angeuuawa
Umeisha sema Kule ufaransa, siyo lazima tufanane, huku bongo wengempa hata mvua 30 ashike adabu. Mtu wahivyo anaweza hatamtukana mama yake.
 
Msanii wa Nyimbo za asili ya Kisukuma, Dawa Juma mkazi wa Kijiji cha Makurugusi wilayani Chato mkoani Geita, amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya Tsh...
Mbona miaka michache sana hiyo? Ilitakiwa 15 Ili iwe funzo na Kwa wengine maana mtu wa kawaida tu akikushitaki Huwa ni kifungo hicho au fidia ya pesa za kuzidi tuu sembuse Rais ?
 
Kutukana kosa lake ni FAINI
Ukishindwa FAINI ndiyo unaenda jela.
Huyo faini ni Milion 10,akipata siku yyt anatoka.

Makamanda mchangieni mtu wenu atoke.
Labda katumwa na chama chake, Wacha aonje joto la jiwe,
 
Back
Top Bottom