Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

Inabidi niongeze neno mapunye kwenye list ya matusi ninayo yafahamu.
Wengi mmeopt kuangalia huu wimbo kwa mtazamo mmoja.

Ushungi kwa Imani ya Rais wa sasa wa Tanzania ni vazi la kujistiri. Yaani ni kwamba kwake yeye anatakiwa afunike kichwa kila anapotokea public.

Kisha kwa kufuata maelekezo ya imani yake mtu anachagua kuuliza ikiwa ushungi hauvuliwi kwaajili ya mapunye. Vitu vimepanda bei kweli hilo hajaongopa lakini kulikua na ulazima wa hizi elements kuwepo? Pamoja na sexism?

Nafikiri shida ni kusema amemtukana, kudhalilisha ingekua sahihi zaidi
 
Kutukana kosa lake ni FAINI
Ukishindwa FAINI ndiyo unaenda jela.
Huyo faini ni Milion 10,akipata siku yyt anatoka.

Makamanda mchangieni mtu wenu atoke.
Hakutumwa kwenda kumtukana Rais.
Yeye angeimba wimbo wakujenga hoja bila matusi.
 
Huyu kama mimi ndo Hakimu angekuka 15 plus na faini bilioni tisa
 
Pole yake, wenzake wana sifu na kuabudu ohhh
Viongozi wa afrika maarufuku kuwaponda ajuwe hilo

Ova
 
Ushamba mzigo, wamemtanguliza na yeye kajaa. Alijua anamuimbia girl friend wake? Wamlipie hiyo mil 10 ss atoke jela. JKAlishawaambia akili za kupewa changanya na za kwako, kama mbayuwayu alivyojiongeza.
 
Kuna lugha zingine katumia za dharau
Sijui mvaa ushungi nk
Hiyo siyo sawa
Hata roma aimbagi hivyo

Ova
Kabisa amepitiliza. Waliompa kichwa cha kujigamba haogopi hutawasikia, hapo Ndo pale majuto anakuwa mjukuu
 
Wimbo mtamu sana.

Dogo anasistizia hadi watu kwenda shambani.. hii nchi tatizo ni kujilinda an kuogofyana sana.
 
Dawa imepata dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…