UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Aliitwa Rais mshamba.Aliyeita raisi dikteta uchwara yeye alikuwa sahihi, yani hii nchi tupigwe nyuklia tu tuanze upya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliitwa Rais mshamba.Aliyeita raisi dikteta uchwara yeye alikuwa sahihi, yani hii nchi tupigwe nyuklia tu tuanze upya
Mh kuchanga mchezo hata chadema walishindwa kumchangia Lema kulipa madeni yake hadi Bashiru akataka amlipie.Hapo Sukuma gang ndiyo wanatakiwa wachange
Et ungeona kawaida basi hata huko kupigana risasi mngekuja kuzoea pia na kuona kawaida, nchi hii mnazoea vitu vya ajabu sana ndio maana nasema hata aina ya uchaguzi wa 2020 ambao watu huulalamikia wangekuja kuuzoea tu kama wanavyokiri kuzoea wizi wa kura wa ccm uliyopo miaka yote.Mkuu Lissu kupigwa risasi ni tofauti na kufungwa jela. Mbona Sugu alifungwa kwa kumtukana JPM pia Mbowe na Matiko walifungwa miezi 7 kwa uchochezi!! Ila sio RISASI. Yaani kumuua mtu kisa kakutukana ni kuvuka mipaka, ila Lissu angefungwa tungeona kawaida maana tulizoea kila siku wanamfungulia kesi mahakamani.
Kuna kukosoa na kutukana unapo anza kutaja viungo vya mwili unavuka mipakaMlikuwa hamtukani humu? Au jamii forum umejiunga leo?
Upeo unaosema ambao ndugu unao ndiyo huo huo wa kukaririshwa na makaratasi. Kwakutumia utaalaam na utashi wa akili lazma ilo swala lingekua na matokeo tofauti. Mfano,mtu akiuuliza je,msanii katika mambo yote aliosema msanii je,kuna uongo tu?Pole Mkuu ilo lipo juu ya upeo wako.
Kufungwa kwa kesi za kubambikiza ni prevalent Tanzania lakini kumiminiana risasi kisa siasa hatukuwahi kuyaona. Huwezi linganisha hayo mawili kabisa. Una justify kuuwana kisa kumkosoa Rais? Are you seriousEt ungeona kawaida basi hata huko kupigana risasi mngekuja kuzoea pia na kuona kawaida, nchi hii mnazoea vitu vya ajabu sana ndio maana nasema hata aina ya uchaguzi wa 2020 ambao watu huulalamikia wangekuja kuuzoea tu kama wanavyokiri kuzoea wizi wa kura wa ccm uliyopo miaka yote.
kila mtu na kazi yake ndugu yangu....nitamtembelea huyo bwana siku moja maana ameimba point tupu aiseeNa wewe imba remix...
Sahihi kabisa.....huyo alitakiwa akapatiwe matibabu ya akili kama yule nabii TitoThis is a typical case ya this scenario Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?
Any right thinking member of the society, akiyasoma tuu hayo mashairi, atagundua this man is insane!, huyu sio mtu wa kupelekwa jela, ni mtu wa kupimwa akili na kuanza matibabu!.
P
Ndio nakwambia kwamba huko kufungana kwa kesi za kubambikiana sio jambo la kawaida kisa mmelizowea, wengine wanaweza kuwashangaa et watanzania wamezoea kufungana kwa kesi za kubambikiana kwamba kwao ni kawaida. Sasa hayo ya kupigana risasi kisa siasa nayo mngeyazoea tu maana hakuna hoja yeyote ya msingi ya kuzoea hayo mliyoyazoea hivi sasa.Kufungwa kwa kesi za kubambikiza ni prevalent Tanzania lakini kumiminiana risasi kisa siasa hatukuwahi kuyaona. Huwezi linganisha hayo mawili kabisa. Una justify kuuwana kisa kumkosoa Rais? Are you serious
Nyie watu wamchongo mna muda mfupi sana wa kutema uozo uliowajaa lakini kuna siku mtaukana hadharani.Intelligence Justice;
Hii ndiyo defamation to destroy other people's reputation na sheria ile uliyoitupia inamhusu huyu..
Na kwa kweli huyu anastahili Kwa sababu si tu amedhalilisha Imani na utu wa mtu mwingine Kwa maneno yake na kuusambaza katika media bali anasema mwenyewe kwenye maneno yake hayohayo kuwa haogopi kukamatwa Kwa kumtukana mtu mwingine...
Lakini wale waandishi wa kitabu cha "I AM THE STATE" kumhusu aliyekuwa Rais wa Tanzania (2015 - 2021) hayati John P. Magufuli hiyo si defamation na ukienda mahakamani utapata taabu sana kuthibitisha unless otherwise angekuwepo John P. Magufuli mwenyewe na zile mahakama zake na mahakimu wake wa kimkakati..
Hao wameandika kitabu kuhusu matendo ya uongozi wa aliyekuwa Rais wao. Ni mambo ya kweli, hakuna uongo na hayo kamwe hayawezi kuwa matusi..
Tatizo ni kuwa, wapenzi wa John P. Magufuli wamechukia kwa sababu upande wasioutaka (negative side) wa mtu wao umekuwa exposed na kwa tafsiri yao isiyoweza kusimama mbele ya sheria na haki, eti hayo ni matusi yanadhalilisha na kuvunja heshima na utu wa mtu wao na mkakimbilia kujificha kwenye sheria inayovuja isiyoweza kuwakinga mnapoloa na mvua ya mawe...!!.
Sikiliza ndugu @Intelligence Justice, mtu yeyote (ukiwemo wewe na hata mimi) aweza kujivunjia heshima na kuharibu utu wake mwenyewe kwa maneno na matendo yake. Na hayo matendo na maneno yake ndiyo huambatana nayo kokote aendako hata kama ni kaburini kama huyo aliyekuwa Rais wenu..!!
Poleni sana wana Chato.
😀😀😀Mtukanaji wa Chato, wakili wa Chato, hakimu wa Chato, mahakama ya Chato, mtajuana wenyewe watu wa Chato sie hayatuhusu
Jela kaitaka mwenyeweHuyu ameyataka mwenyewe.
Kumwita Rais ni 'ovyo', eti Rais ni 'msimbe', eti Rais ana 'mapunye kichwani', eti "hata mwaka haujaisha Rais ameiba ndege", eti Rais "alikuwa hajawahi kupanda ndege"hivi kulikuwa na ulazima wa kuyasema hayo ya upuuzi, kejeli, matusi, na uwong ili kuufikisha ujumbe wake?
Huyu kijana amejosa akili, amekosa staha, amekosa heshima, amekosa ustaarabu. Hivi kwa umri wa Mama Samia, hata asingekuwa Rais, unaweza kumtolea maneno kama hayo?
Kwanza huyu kawatusi akina mama wote wanaovaa ushungi. Kwake yeye kila anayevaa ushungi ana mapunye kichwani. Hivi kuna ndege iliyoibuwa na Rais? Hivi kweli Rais Samia kabla ya kuwa makamu wa Rais, alikuwa hajawahi kupanda ndege? Kumwita Rais ni ovyo, lazima uwe na uthibitisho, ni ovyo katika nini. Huko ambako wafanyakazi wanashi dwa hata kuwalipa mishahara wafanyakazi wa umma, hatujasikia watu wakisema Rais ni ovyo.
Mshulikieni aweze kutoka huko lupango pia mkuuBonge ya track