Chato: Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, atembelea kaburi la Hayati Magufuli

Pengo ana matatizo ya akili, hakuwahi kukemea unyama wa Magufuli akiwa madarakani bali alikuwa akimpongeza na kusema Makonda ndiye anayestahili kuwa mrithi wake. Alituaibisha sana sisi wakatoloki
 
Jpm
 
Kweli kabisa
 
siku hiyo hata vibarua wangu wanao chimba dhahabu niliwapa ofa ya kula kunywa na mapumziko ya siku 3...
Kumbe wewe ni JIZI LA MADINI

Kwanza sidhani hata kama umefikia kiwango cha kuwa JIZI LA MADINI.

Wewe ni mbangaizaji tu muuzaji wa genge la mchicha na chachandu.

MAJIZI YENYE VIWANGO tunayajua. Wewe sio mmoja wao.

Usijishebedue.
 
Kumbe wewe ni JIZI LA MADINI

Kwanza sidhani hata kama umefikia kiwango cha kuwa JIZI LA MADINI.

Wewe ni mbangaizaji tu muuzaji wa genge la mchicha na chachandu.

MAJIZI YENYE VIWANGO tunayajua. Wewe sio mmoja wao.

Usijishebedue.
Niko huku chunya mkuu , njoo ujifunze namna dhahabu inavyo patikana .. usifikiri mm ni sawa na ww muuza genge
 
PENGO alikodisha ndege kabisa?kweli R.I.P CHUMA JPM
 
📍Chato

Aliyekuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo leo ametembelea kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli nyumbani kwa marehemu kijijini Chato mkoani Geita.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…