Katika picha na Video ni Askofu Flavian Matindi Kassala wa Jimbo Katoliki Geita akiambatana na Mapadre, Watawa na baadhi ya waamini wa Jimbo Katoliki Geita, katika mapokezi ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo kuu la Dar es salaam Katika uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita Leo.
Pengo leo Machi 16, 2023 ametembelea kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli nyumbani kwa marehemu kijijini Chato mkoani Geita aliyefariki Dunia Tarehe 17 Machi 2021
View attachment 2554194View attachment 2554193
View attachment 2554183
View attachment 2554186
View attachment 2554187