TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 RIP
 
Jeneza atakua amelinunua mwenyewe lakini kasabau kununua meza jeneza likae vizuri.

Ingekua zamani angeamuru sakafu iwekwe tyres haraka lakini kwa sababu ya corona mambo ndio hivo.
jeneza likiwekwa kwenye meza nzuri.likapambwa maua ya dhahabu na kuwekwa msalaba wa almasi nk ndio inakuwaje marehemu ndio anafufuka au? mbona hujauliza kuwa msalaba huuoni?

mtu akifariki kafariki tu kinachofuata mazishi zingine mbwembwe tu hizo pesa za mbwembwe heri wawe wanakabidhiwa wafiwa waliobaki sababu watu wakishazika huwaoni tena nyumbani kwa wafiwa tena tangazo hutolewa makaburini palepale kuwa hapa tushamaliza kuzika tunashukuru umati mliohudhuria na mamilioni ya michango mliyotoa tumemaliza kuzika salama kila mtu aende kwake tutakuwa na tanga ndugu ambalo ndugu tu wa karibu watahusika nalo hapo ndio imetoka hiyo huji waona nyumbani msibani milele Kama mamilioni uliyochangwia uliyatumia kwenye mbwembwe utakula jeuri yako baada ya msiba
 
Marehemu anastahili heshima, hivyo kama haijatajwa sababu ya kifo, msimsingizie marehemu kuwa ni Corona!.

Kitu kizuri nime kinote kuhusu Chato, wana good class na executive coffins, ila hakuna florists, hivyo hiyo ni fursa.
P

Usitulazimishe kufuata mawazo yako Wewe mjinga. Kama unachangia kwa malengo yako acha na Sisi tuwe free. Issue ni charity starts at home ameshindwa kumwekea hata sakafu dada yake!? Anagawa pesa tuuu. Shame. Halafu mwambie huyo Kaka yako ajifunze kuhutubia sio kufoka foka tu.
 
Habari hii mbona inatia shaka kidogo! Mbona hakuna aliye vaa barakoa? Hali ilivyo sasa hivi kuna Mtanzania yeyote anaweza kudhulia kwenye misiba bila ya kuvaa facemask.
sisi tumezika juzi hatukuvaa barakoaa
 
Usitulazimishe kufuata mawazo yako Wewe mjinga. Kama unachangia kwa malengo yako acha na Sisi tuwe free. Issue ni charity starts at home ameshindwa kumwekea hata sakafu dada yake!? Anagawa pesa tuuu. Shame
Ninyi ndio mnasababisha viongozi wa AFRICA kuwa wezi sababu mnataka mtu akishakuwa kiongozi basi awajengee ndugu zake wooote mijumba ya kueleweka na awape maisha ya kueleweka wao kazi yao kutumbua kisa wana ndugu mtu mkubwa au mwenye pesa !

Mentality hii inachangia umasikini ,uvivu na kutojituma kwa jamii nyingi za kiafrika utasikia ohh ndugu yetu ana uwezo ila hatusaidii naona wewe ni mmoja wa miafrika mipumbavu tegemezi ambayo ndugu yako akiwa mtu mkubwa au anacho unamkodolea mimacho kama unamdai kuwa akusaidie hujitumi mwenyewe uondokane na hali duni yako na asipokupa ulivyo na akili ya kilofa unanuna utafikiri yeye ndie alikutuma ubweteke jinga wewe

Kifupi una mentality mbaya na ya roho ya kimaskini ya uhakika ambayo ukibaki nayo hata muwe na ndugu mwenye uwezo mtamshusha chini sababu kila mtu atamnyonya anataka msaada akifilisika mtasema ohh kazi yake ilikuwa kujionyesha tu kwa ndugu kuwa ana hela

pesa anazotoa raisi zinatoka fungu la donation la raisi anapotoa kwenye community chache sana hutoka mfuko wake binafsi
 
Wewe si huwa unasema hujawahi kuzika mtu tangia Koona aingie? Mkiendelea kuleta propaganda za kijinga mtaisha
Nilisema sijazika mtu yeyote mtaani kwetu .NI KWELI MTAANI KWETU hadi LEO HII HATUJAZIKA MTU NA HAKUNA ALIYEKUFA TOKA CORONA IANZE HUYO nilienda mzika makaburi ya kola morogoro sijasema mtaani kwangu
 
Habari hii mbona inatia shaka kidogo! Mbona hakuna aliye vaa barakoa? Hali ilivyo sasa hivi kuna Mtanzania yeyote anaweza kudhulia kwenye misiba bila ya kuvaa facemask.

Yeye ni mshabiki wa kutokuvaa barakoa. Hukusikia hotuba yake kanisani?

Hata maiti hatari zipimwe Corona. Tena anataka mazishi yote yawe sawa tu hata kama mtu kafariki kwa Corona isipokuwa kama amefariki kwa Ebola.

Eeh mola wetu hebu na busara imfikie kabla ya pigo la kumi.
 
Kumbe nanyie huwa mnafiwa ,maana unavyoongea unajifananisha na malaika wa Mbinguni!Pole sana Mtakatifu sana YEHODAYA
napokea pole lakini sio ndugu yangu aliyefariki ni mtoto wa rafiki yangu yuko morogoro sio dar es salaam
 
Tuliza munkari, jipatie pepcon na pepsi jirani hapo uwe unatupia kidogokidogo mkuu, huku ukijiambia moyoni kuwa, Duniani si mahali pa kuishi milele, hata wewe mwenyewe Kwa saa na siku usiyoijua utakwenda kuzikwa, halafu kaa kimya
 
Hahahahahaahaha..
Mkuu Pascal ukiwa Rais itakuwa balaa pale getini kila jioni na asub.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…