TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

Nakushukuru sana umemjibu kwa maneno ambayo nami ningeyatumia,umeniwakilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marehemu anastahili heshima, hivyo kama haijatajwa sababu ya kifo, msimsingizie marehemu kuwa ni Corona!.

Kitu kizuri nime kinote kuhusu Chato, wana good class na executive coffins, ila hakuna florists, hivyo hiyo ni fursa.
P

Ila we jamaa unajifanya mjuaji sana,kila kitu unajifanya unaelewa kuliko wengine


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lakini jana mwenyewe kakumbuka maneno ya JK kuwa " unapaswa kuwa na akili kama za mbayuwayu" yaani za kuambiwa changanya na zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajikomba sana,punguza upambe
 
Naona mambo yanaenda haraka mno.tuwaulize wenyeji je ndio desturi zenu mtu akifa jioni asubuhi anazikwa? Au kuna kitu nyuma ya pazia.
 
Haya yote hayajasidia kupata uteuzi, mmoja kashauri vifo vya koona visitangazwe karudishwa sebuleni kutoka uwani, tumia njia tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisema sijazika mtu yeyote mtaani kwetu .NI KWELI MTAANI KWETU hadi LEO HII HATUJAZIKA MTU NA HAKUNA ALIYEKUFA TOKA CORONA IANZE HUYO nilienda mzika makaburi ya kola morogoro sijasema mtaani kwangu

Kola sio Rona kweli? Maana kuna roumors balaa watu wanazikwa usk
 
Pole sana mheshimiwa Raisi, kifo ni kitu ch ajabu sana, najua umeumia, mume wake kaumia na watanzania tumeumia kwa ujumla, Tunakuombea moyo wa uvumilivu kipindi hiki kigumu kwako na wanafamilia yako, POLE SANA BABA YETU JOHN MAFUGULI, tunakupenda sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…