Kama haisaidii kwa nini tufunge? Kufunga pia si haisaidii vilevile angalau tunaonekana wema kua tunawapenda majirani zetu na tunakaribisha watu wa nchi zote hata kama ukweli ni kua tunataka wakae watulie.Lakini hivi Uganda kama kafunga mpaka na sisi, wa kwetu ukiwa wazi inasaidiaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nasubiri tu 🙄
Mkuu Raisi anafanya kazi akiwa sehemu yeyote ndani ya nchi hii kwa kutumia mifumo iliyoko, sasa wewe unadhani akiwa Dar tu ndio anafanya kazi, basi kusingekuwa na haja ya kuwa na ikulu ndogo kila wilaya. Inaonekana, somo la urai lukikupita kushuto.Nasikia kasema "Chapeni kazi" Na yeye tunamtaka arudi Dar ili afanye mambo muhimu ya kitaifa!
Wewe ulitaka achukue hatua gani? Mkuu kama wew unafedha na chakula cha kutosha ndani unaweza kuchukua hatua inayokustahili.Mlio like mmeona au kusikia huko TBC ?
Mtu wa tatu sijui wa nne Corona imefanya yake
Msiseme hatukuwaambia nusu milingoti itakuwa mingi nyie haya
Endelezeni kumdanganya kwa faida ya matumbo yenu.
Bilious Tz vimeanza ni vingi tu
Nimuulize swali,ulishawahi kwenda Tarime,Iringa au Jamaica......Kuna mchicha mtamu kweli kule....ukila utamu wake utawarisisha na wajukuu .Ajue kuwa watu wanakufa! Hizo nchi anazosema kuwa zinaitegemea Tanzania ajue baadhi wameshafunga mipaka ingawa kwao hakuna maafa kama kwetu! Mwambieni aelewe kuwa vilevile kauli za kuudhi kama hizi siyo lazima azitoe hadharani. Huyu mtu sijui ubinadamu aliuachaga wapi!
Sio kweli,Ikulu ndogo zipo ,lakini Ofis Kuu Ni Moja tu,Disrmba alikaa huko mwezi mzima ,sasa imetokes Tena....kwa Nini Sasa asiende Ikulu Ndogo ya Rombo,Mimi nafikiri Mh.yupo Mapumziko!Mkuu Raisi anafanya kazi akiwa sehemu yeyote ndani ya nchi hii kwa kutumia mifumo iliyoko, sasa wewe unadhani akiwa Dar tu ndio anafanya kazi, basi kusingekuwa na haja ya kuwa na ikulu ndogo kila wilaya. Inaonekana, somo la urai lukikupita kushuto.
Nadhani hujaelewa jibu nililomjibu mchangiaji kwamba Raisi anafanya kazi popote alipo sio lazima awe Dar, hivi sasa yuko Chato, umeona inchi imesimama au kuna kitu hakiendi sawa? Nahisi na wewe somo la uraia lilikupita kushoto.Sio kweli,Ikulu ndogo zipo ,lakini Ofis Kuu Ni Moja tu,Disrmba alikaa huko mwezi mzima ,sasa imetokes Tena....kwa Nini Sasa asiende Ikulu Ndogo ya Rombo,Mimi nafikiri Mh.yupo Mapumziko!
Mkuu wewe unaona Mambo yako sawa !...wewe Uraia ulsoma mpaka Darasa la Saba....Mimi niliendelea nao Hadi JuuNadhani hujaelewa jibu nililomjibu mchangiaji kwamba Raisi anafanya kazi popote alipo sio lazima awe Dar, hivi sasa yuko Chato, umeona inchi imesimama au kuna kitu hakiendi sawa? Nahisi na wewe somo la uraia lilikupita kushoto.
Hivi tukifa wengi hawa watu hawawezi kushtakiwa kwa manslaughter kweli??Huyu tutakumbushana. Tunaomba Mungu hali isiwe tete lakini ikiwa tete tutaulizana.
Si walitamka wenyewe na mashabiki wakashangilia?
Tunajifanya wakristo kuliko Yesu Kristo mwenyewe.
Siasa, ujuaji, kiburi, majivuno, ushamba!!Bado mnachukulia Corona kama Maralia, Botswana raisi ametangaza hali ya hatari hii ni baada ya nurse aliyewapima raisi na wabunge kabla ya kikao cha bunge kugundulika ana Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama uliendelea mpaka juu kwanini unashindwa kuelewa vitu vidogo kama hivi mkuu? Anyway mimi niliishia la saba lakin nilisoma GS na DS kwa nyakati tofauti tofauti.Mkuu wewe unaona Mambo yako sawa !...wewe Uraia ulsoma mpaka Darasa la Saba....Mimi niliendelea nao Hadi Juu
Pengine wanataka tupungue kidogoNi kweli tukifunga mipaka uchumi utayumba vibaya sana. Maana majiran wanatutegemea.
Lakin ktk kipindi hiki mipaka ifungwe kwa muda... hatuwezi ki risk afya za watanzania in the name of money.
Hakutakuwa na faida yoyote tukiwa na taifa tajiri lakin lenye asilimia kubwa ambao ni wagonjwa. Hata huo uchumi utadidimia
Sent using Jamii Forums mobile app