Graph
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 2,735
- 6,165
Kama haisaidii kwa nini tufunge? Kufunga pia si haisaidii vilevile angalau tunaonekana wema kua tunawapenda majirani zetu na tunakaribisha watu wa nchi zote hata kama ukweli ni kua tunataka wakae watulie.Lakini hivi Uganda kama kafunga mpaka na sisi, wa kwetu ukiwa wazi inasaidiaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania ni nchi inayocheza nuetral sa hivi, hatuna bif na China wala USA wala nchi nyingine, angalia Kenya alivyopiga ban travel sasa hivi nchi ambazo zinawasumbua wakenya visa ni nyingi mno, imekua vita kila nchi wanatishiana ubabe, watanzania kimya hamna shida kabisa