CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

Leo nimeshinda naangalia Cnn wataalamu wamesema social diastancing imeonekana kuwa inafanya kazi vizuri Usa. Kwa Africa hii ni ngumu kama kutatokea maambukizi makubwa. Tumuombe Mungu atusaidie.
Hivi tukifa wengi hawa watu hawawezi kushtakiwa kwa manslaughter kweli??

Inasikitisha Ila manslaughter inawahusu.
 
Peke yake bila nani mkuu

Humuoni huyo jamaa kushoto kwa Rais hapo? Humjui huyu? Hata kama humjui mkuu hushangai yeye hafungi macho kanisani?
Hata kulia wapo watatu, mmojawapo kaangalia mpiga picha, pia mgongoni kwambaali anaonekana mwingine ana shati jeupe. Wamekaa nafasi ya watoto lakini mifume yote inayoonekana hapo moto.

Huyu wa Kushoto angalia hata saa yake, ya kazi hiyo!
 
People's power!
Chadema kumbe mpo? Ayaa naomba mnisamehe kwa uzi huu.

Lakini sipendezwi na tabia yenu ya kukosoa kosoa kila jambo,
Mimi mwenyewe nilikuwa Chadema, lakini kutokana na tabia ya kupinga pinga kila kinachoamriwa na serikali, imebidi nihame tu chama.

Ninaomba mnisamehe Wanachadema wote. Sisi sote Ni ndugu wa baba mmoja. Tupendane na tumtangulize Mungu ktk mapambano dhidi ya corona
 
Mwambieni wafanyakazi wawili wa TBC wamefia Mloganzila. Mwambieni wanaoidharau Corona ndiyo wanaondoka nayo!
 
Arudi ofisini kwake....apokee na wajumbe mbalimbali tokea mabeberu awashukuru kwa misaada...awakaribishe wajumbe wa China, awashukuru kwa vifaa vya COVID-19..
Yaani anawapenda majirani kuliko wapiga kura wake?

Tufe kwa sababu ya majirani? ANATAFUTA NINI?? Tanzania itashika rekodi ya kiulimwengu kuua raia wake, ikiokoa majirani.

Mambo ya ukombozi wa kusini kwa Africa, yalishaisha...

Everyday is Saturday.................... 😎
 
BENNICK,
Mkuu kuna kauli nyingine zikitolewaga na viongozi wetu ni kama vile wanakuwa hawajipanga kuliongelea jambo fulani alafu wanajikuta wapo kwenye mazingira yanayowazimisha kuongea kabla hawajapata ushauri wa wataalamu wa jambo husika ndiposa wanachoongea kinakuwa hakina mantiki yoyote mbele ya jamii.
 
Tripo9,
Takwimu mpya zinaonyesha kwamba kwa mara ya kwanza tangu janga hili la korona lianze duniani, Marekani imeripoti vifo zaidi ya 2,000 kwa siku moja tu (ndani ya saa 24 wamekufa watu zaidi ya 2,000 kwa korona)!

Nimeona nikazie jibu lako kwa huyo member wa JF ambae hadi sasa hivi hajui sababu ya kwanini Nchi kama Marekani, Italia na Uispania watu wanakufa kwa wingi pamoja na kuwepo hizo lockdowns. Ni aibu sana kwa mtu mzima kuuliza swali la namna hiyo humu JF.
 
Kwa hali hii huenda waliokufa ni wengi zaidi sema hawana titles!! Ni akina sie kajamba nani...
sio taito tu,inaweza kukuta hata serikali haijui na amezikwa kawaida kabisa. maambukizi ya ndani ni hatari zaidi coz karantin unawekwa baada ya kugundulika. sasa mpaka unagundulika utakuwa umeambukiza wangapi. mfano mdogo ni US na Italy. tena kama US wanakufa kwa ujinga wao.hawa viongozi wetu wamekaza shingo ila majibu watayapata sio muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…