Elly Ngateu
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 365
- 1,371
Muda ndiyo utakao amua, tusubiri tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee [emoji22][emoji22][emoji22]Hapo ndipo muamini,kumbe yote ayasemayo Bashite huwa yana baraka za Jiwe.
Leo nimeshinda naangalia Cnn wataalamu wamesema social diastancing imeonekana kuwa inafanya kazi vizuri Usa. Kwa Africa hii ni ngumu kama kutatokea maambukizi makubwa. Tumuombe Mungu atusaidie.
Hivi tukifa wengi hawa watu hawawezi kushtakiwa kwa manslaughter kweli??
Hata kulia wapo watatu, mmojawapo kaangalia mpiga picha, pia mgongoni kwambaali anaonekana mwingine ana shati jeupe. Wamekaa nafasi ya watoto lakini mifume yote inayoonekana hapo moto.Peke yake bila nani mkuu
Humuoni huyo jamaa kushoto kwa Rais hapo? Humjui huyu? Hata kama humjui mkuu hushangai yeye hafungi macho kanisani?
Iko wazi ndomaana sisi tunaingizaJe hizo nchi nane wao wamefunga mipaka au wameiachia...!?
Sent from my iPhone using JamiiForums
sio taito tu,inaweza kukuta hata serikali haijui na amezikwa kawaida kabisa. maambukizi ya ndani ni hatari zaidi coz karantin unawekwa baada ya kugundulika. sasa mpaka unagundulika utakuwa umeambukiza wangapi. mfano mdogo ni US na Italy. tena kama US wanakufa kwa ujinga wao.hawa viongozi wetu wamekaza shingo ila majibu watayapata sio mudaKwa hali hii huenda waliokufa ni wengi zaidi sema hawana titles!! Ni akina sie kajamba nani...