OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
mkuu habari ya miakaTakwimu mpya zinaonyesha kwamba kwa mara ya kwanza tangu janga hili la korona lianze duniani, Marekani imeripoti vifo zaidi ya 2,000 kwa siku moja tu (ndani ya saa 24 wamekufa watu zaidi ya 2,000 kwa korona)!
Nimeona nikazie jibu lako kwa huyo member wa JF ambae hadi sasa hivi hajui sababu ya kwanini Nchi kama Marekani, Italia na Uispania watu wanakufa kwa wingi pamoja na kuwepo hizo lockdowns. Ni aibu sana kwa mtu mzima kuuliza swali la namna hiyo humu JF.
mkuu.. nini maana ya kufunga mipaka? hata hao wanaoleta dawa na chakula pia wasingeweza kuingia kama mipaka ingefungwa...!Makanisa, Miskiti yote ingefungwa. Ningepiga marufuku abilia kuingia na kutoka Dar, Mipaka yote ingefungwa isipokuwa wanaoleta chakula, dawa na bidhaa muhimu, Kumbi zote za starehe zingefungwa kila mlevi anunue pombe dukani akanywe kwake.
Mishahara yote ya umma ambayo ni kuanzia milion 3 ingekatwa 50% ili kununua chakula kwa watu masikini.
Minada bado inaendelea kama kawaida pesa kwanza uhai baadaeTunafunga shule na vyuo halafu tunaruhusu wageni kuingia na mikusanyiko inayoweza kuepukwa kwa muda.ovyoooo
Huyu ni wa kumpuuza tu hana hata chembe ya sympathy !what a disgrace kind of a president!
Nadhani huyu bwana anadhani kwa kuachia corona iingie kiholela, atabahatisha kuua wapinzani ie watakufa wapinzani na CCM watapona. Muda ni mwalimu mzuri, ngoja tusubiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote kwa pamoja!Kwani Corona ni politics au ni science?