OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
mkuu habari ya miakaTakwimu mpya zinaonyesha kwamba kwa mara ya kwanza tangu janga hili la korona lianze duniani, Marekani imeripoti vifo zaidi ya 2,000 kwa siku moja tu (ndani ya saa 24 wamekufa watu zaidi ya 2,000 kwa korona)!
Nimeona nikazie jibu lako kwa huyo member wa JF ambae hadi sasa hivi hajui sababu ya kwanini Nchi kama Marekani, Italia na Uispania watu wanakufa kwa wingi pamoja na kuwepo hizo lockdowns. Ni aibu sana kwa mtu mzima kuuliza swali la namna hiyo humu JF.