Je hizo nchi nane wao wamefunga mipaka au wameiachia...!?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio lockdown yenyewe hiyo.....Mwanza tumetangaziwa kwanzia leo sehemu kama Mwanza Hotel,Goden,Bunda Sriga,Malaika Beach na sehemu zote za starehe kufungwa ili kuepusha mikusanyiko isiyo ya lazima
Upuuzi mtupuAlafu cha ajabu zaiidi yeye kakimbia katuachia msala..
Source please. Kuna mtu anatafuta namna ya kuipeleka korona segereaBado tunafanya utani?? TBC wamepoteza wafanyakazi watatu ndani ya week mbili, wengine wako tight, tunataka hadi afe nani ndio tuache utani???
Nimeuliza kwanini anaogopa wakati hii ni Donna Counrty? Na amesema kuna pesa ya kulisha watanzania wote kwa Miezi 6. Unataka kuniambia kwamba tukifungiwa ndani hiyo miezi 6 Corona itakua haijaisha kwetu? Jibu swali bwana acha kujifanya mwalimuHii signature yako Mpwa! Dah
Mbona kama yuko peke yake? Usalama wa viongozi wa kitaifa ni usalama wa taifa, ndio maana makamu wa rais na rais kipindi hiki lazima wana usalama wahakikishe wako salama kiafya ili taifa liwe salama, hawaonekani mara kwa mara wakiwa wamejichanganya katika jamii
Haya ma miradi ya kununua ndege cash, sgr, stiglaz na pesa zinazotumika kufanya siasa uchwara za kununua wapinzani zingetufaa sana kipindi hiki kigumu.
Kwa hiyo mnataka rais atangaze lockdown nchi nzima?
Je, wengi wetu tunauwezo wa kula na kunywa walau wiki tatu bila kutoka nje kutafuta riziki?
Acheni ushabiki!
Sent using Jamii Forums mobile app