Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Mimi Mtanzania pia sina hasara. Wewe lazima pingapinga team na Mbowe.Watanzania tuna hasara
Sasa na wewe hapo unaona umekwisha changia mada JF.
Nikifungia ntakufa njaa..nataka tamko la Serikali na zile pesa zetu za Kodi zinazotosha kutulisha miezi 6 kama alivyosema Raisi ndo zituamulie hapa.
Kweli ni upuuzi.Upuuzi mtupu
Chato sio Tanzania?
You're too pessimist!Si alisema iko pesa ya kutilisha miezi 6? Au kwakua wewe ni Mfia chama hii point akiitoa uligeukia upande wa pili ujifanye hujaisikia?
Msome tu utaelewaMetaphor?? How
NimesomaMsome tu utaelewa
Huyo mwamba haamin mtu hata askofu hamna kufumba macho 😂Peke yake bila nani mkuu
Humuoni huyo jamaa kushoto kwa Rais hapo? Humjui huyu? Hata kama humjui mkuu hushangai yeye hafungi macho kanisani?
Washauri wake inaekekea hawamshauri vizuri. Lockdown haina maana kuwa 100 % ya watu watakata nyumbani. Essential workers huwa wanaendelea na kazi.Kwani hawezi kufunga mipaka na kuruhusu mizigo tu kupita?
Vipi kuhusu ndege za kimataifa?
Tuache visingizio!!!