CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Chibudee,
HONGERA RAIS
Hasa kwenye kuwafungia watu ndani. Kuwafungia watu ndani litazaa janga kubwa kuliko Corona yenyewe.

Asilimia kubwa ya watanzania hasa waishio mijini wanategemea wakachacharike mchana ndipo mkate upatikane mezani usiku.

Sasa wakizuiwa kwenda kuchacharika, huo mkate atapewa na nani? Si ndio watakufa hata kuliko wangeuliwa na Corona?
 
digba sowey,
Sawa mkuu huu msimamo uendelee mpaka mwisho wa hili janga tusije kuadhiri watu na majirani zetu
 
H.T.P,
Serikali imezuia mikusanyiko yote ispokuwa ya ibada na sokoni na maeneo ya huduma muhimu kama Mahospitalini japo kuwa tahadhari ni kubwa na serikali inafuatilia kupitia mifumo yake hadi viongozi wa mitaa na vitongoji.

Mfano ili ufanye sherehe yeyote hata kama ni kanisani au msikitini ni mpaka upate kibali cha halmashauri yako na ukipewa maximum ni watu 30 tu tena hakuna misafara, baada ya ibada ya ndoa mnatakiwa kutawanyika. Public gathering zote zimepigwa marufuku sasa sijui wewe uko Tanzania ipi? ya Mbagala au Soweto? au Ughaibuni kabisa?
 
Akilitime, Hapo unamdhihaki, (ni utovu wa nidhamu), japo wavivu wa fikira wataona unampamba. Una nia ya kuifahamisha jamii kuwa maamuzi yanaelekezwa kwa wasaidizi bila kuwahusisha wataalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peke yake bila nani mkuu

Humuoni huyo jamaa kushoto kwa Rais hapo? Humjui huyu? Hata kama humjui mkuu hushangai yeye hafungi macho kanisani?
Huyo mwamba haamin mtu hata askofu hamna kufumba macho 😂
 
Kwani hawezi kufunga mipaka na kuruhusu mizigo tu kupita?

Vipi kuhusu ndege za kimataifa?

Tuache visingizio!!!
Washauri wake inaekekea hawamshauri vizuri. Lockdown haina maana kuwa 100 % ya watu watakata nyumbani. Essential workers huwa wanaendelea na kazi.
 
Akilitime, Ndizo akili zenu , kwani hata Polepole aliwahi kuifananisha Cdm na Corona . Na kuahidi kupmbana nayo !!. Wala hatuwashangai

Serikali na chama tawala kupingwa ni jambo la kikatiba. Hutaki jinyonge

Odhis *
 
Back
Top Bottom