pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Wahenga walisema; 'mtoto wa moto ni majivu'. mwenye akili ajilinde, anaetaka kukutana na kifo awasikilize wanasiasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuuliza uliyesema kakimbia Corona.Kamuulinze anko wako.kwanini kakimbilia kule.
Anko wako kasema haifiki,mji mtakatifu ule.Nakuuliza uliyesema kakimbia Corona.
Kwaiyo Chato Corona haifiki?
Nasikia kasema "Chapeni kazi" Na yeye tunamtaka arudi Dar ili afanye mambo muhimu ya kitaifa!
Nasikia kasema "Chapeni kazi" Na yeye tunamtaka arudi Dar ili afanye mambo muhimu ya kitaifa!
Hivi kuna serikali itaweza kuwapa tu hela wananchi wake bila yenyewe kuzalisha kitu?.Ndio jukumu mojawapo la serikali kama imejipanga.
Tunazidi kupata hasara kwa kwa kujiweka katika risk kubwa ya maambukizi toka ndani na nje ya nchi kitu ambacho kitapelekea kupoteza maisha ya watu wenge zaidi.Mkuu kwani majirani wakifunga mipaka na sisi Tanzania hatujafunga mipaka ni faida gani tutapata?
Ndio maana nimesema kama imejipanga vinginevyo haitaweza.Hivi kuna serikali itaweza kuwapa tu hela wananchi wake bila yenyewe kuzalisha kitu?.
unadhani serikali hela wanaokota au wanazichimba?..
Zote zina lockdown mkuu.Jamaa yetu anasema tupige kazi ili wakimaliza kucoronwa tuwapige pesa.TBC wameanza kupiga kaziNaomba kuuliza Je nchi zote zinazotuzunguuka zimeshafunga mipaka?
Je zote zimetangaza complete lockdown?
Je kwa nchi za jumuia ya Africa Mashariki hali ikoje?
Je zote zimefunga mipaka?
Je zote zimetangaziwa complete lockdown?
Sent using Jamii Forums mobile app