CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona


Huyu tutakumbushana. Tunaomba Mungu hali isiwe tete lakini ikiwa tete tutaulizana.

Si walitamka wenyewe na mashabiki wakashangilia?

Tunajifanya wakristo kuliko Yesu Kristo mwenyewe.
 
Jamii forums [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124] runtown,

Jr[emoji769]
 
digba sowey, Ni kweli tukifunga mipaka uchumi utayumba vibaya sana. Maana majiran wanatutegemea.

Lakin ktk kipindi hiki mipaka ifungwe kwa muda... hatuwezi ki risk afya za watanzania in the name of money.

Hakutakuwa na faida yoyote tukiwa na taifa tajiri lakin lenye asilimia kubwa ambao ni wagonjwa. Hata huo uchumi utadidimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BENNICK,
Tusikariri kwamba kufunga mipaka ndio suruhisho. China waliweka lockdown na kufunga mipaka imesaidia. Kuna jimbo moja Usa hamna Lockdown na wamefanya uchaguzi, ila social distacing imezingatiwa sana.

New york kuna lockdown lakini ndio state inayoongoza kwa maambukizi na vifo. Na leo wamekiri social distancing inasaidia.

Mimi nafikiri serikali yetu iangalie sana hili. Namna gani wataweza kufanya watu wazingatie social distancing.

Kama kuna uwezekano hata wiki tatu pawe na hatua kali kudhibiti mrundikano wa watu. Ugonjwa huu unaambukizwa kwa chafya na kukohoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…