Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajue kuwa watu wanakufa! Hizo nchi anazosema kuwa zinaitegemea Tanzania ajue baadhi wameshafunga mipaka ingawa kwao hakuna maafa kama kwetu! Mwambieni aelewe kuwa vilevile kauli za kuudhi kama hizi siyo lazima azitoe hadharani. Huyu mtu sijui ubinadamu aliuachaga wapi!
Unagombana na mtu usiyemjua,unanijua Mimi? Mbona unanipangia cha kuandika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Assume sa hii yuko nasoma Uzi wakoMzee ni mwoga wa Corona katukimbia DAR