CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

Peke yake bila nani mkuu

Humuoni huyo jamaa kushoto kwa Rais hapo? Humjui huyu? Hata kama humjui mkuu hushangai yeye hafungi macho kanisani?
hivi kwanini na yeye asifunge macho? anaogopa kifo wakati yuko kanisani!? 😳 😛
 
Bams,
Ndio pale za kuambiwa changanya na Mh. Rais kayaongea hayo akiwa mjini chato.
 
Chibudee,
anayasema haya huku yeye akiendelea kula bata kijijini kwake kwa kodi zetu.

basi sawa tu.... zamu ya wananchi kushika hatamu haiko mbali.
 
anayasema haya huku yeye akiendelea kula bata kijijini kwake kwa kodi zetu.

basi sawa tu.... zamu ya wananchi kushika hatamu haiko mbali.
Umeona ile adamu na hawa

Wewe unaweza kuandika kwa kutumia hiyo nembo bila kupata misuko suko?

Maana iyo nembo haitumiki kiholela holela, jaribu kuheshimu huyo ni mkuu wa nchi labda usiwe mtanzania lakini kama ni mtanzania jaribu kuheshimu mamlaka.

Kula bata ndio mada iliyopo hapo juu?
 
Chadema wanaumia mno kusikia hii kauli walitaka waambiwe laleni mtaletewa chakula cha bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu wanaangaika kwasasa huu ugonjwa wameleta wao na kuugua ni hao hao..Walikufa na Covid-19 ata China ,RSA,USA,SPAIN ,KENYA ,ITALY wote ni wapinzani wa apo ufipa.Tumeisha lijua ili...TUSITISHANE TUPIGE KAZI
 
Kijana mwenye akili kama zako ni hasara kwa taifa hili.
Corona si mchezo wa bahati nasibu.

Odhis *
Kuchanganyachanganya I'd haisaidi lolote,pia kufukuka Kama zimwi haichangi lolote

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Bams,
Kamata fimbo, pita porini Simba anaweza kuogopa kichapo.

Mamba hata Kama una una AK47 au SMG kwenye maji (mtoni) lazima akusurubu.
 
Naona anapiga spana, hamna kulegeza msimamo, msimamo unaweza ukabaki huu huu mpaka kakorona kaondoke na upepo
 
Mzee ni mwoga wa Corona katukimbia DAR
Jamani sii anaishi Dodoma siku hizi? Dar anakuja kutembea tuu!
IMG_20200323_200342.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kaenda kujificha

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Back
Top Bottom