Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Kijana mwenye akili kama zako ni hasara kwa taifa hili.Wewe unawajua kina Nani?
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Corona si mchezo wa bahati nasibu.
Odhis *
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana mwenye akili kama zako ni hasara kwa taifa hili.Wewe unawajua kina Nani?
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
hivi kwanini na yeye asifunge macho? anaogopa kifo wakati yuko kanisani!? 😳 😛Peke yake bila nani mkuu
Humuoni huyo jamaa kushoto kwa Rais hapo? Humjui huyu? Hata kama humjui mkuu hushangai yeye hafungi macho kanisani?
Kwaiyo Corona imeletwa na ccm? Rejea mada kuu.Mkuu unaitoaje ccm kwenye mauchafu ya nchi hii?
Umeona ile adamu na hawaanayasema haya huku yeye akiendelea kula bata kijijini kwake kwa kodi zetu.
basi sawa tu.... zamu ya wananchi kushika hatamu haiko mbali.
Alafu wanaangaika kwasasa huu ugonjwa wameleta wao na kuugua ni hao hao..Walikufa na Covid-19 ata China ,RSA,USA,SPAIN ,KENYA ,ITALY wote ni wapinzani wa apo ufipa.Tumeisha lijua ili...TUSITISHANE TUPIGE KAZIChadema wanaumia mno kusikia hii kauli walitaka waambiwe laleni mtaletewa chakula cha bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchanganyachanganya I'd haisaidi lolote,pia kufukuka Kama zimwi haichangi loloteKijana mwenye akili kama zako ni hasara kwa taifa hili.
Corona si mchezo wa bahati nasibu.
Odhis *
Huyu ndio kiongozi.
Kiongozi lazima awe na msimamo na katika hilo namkubali sana Dr Magufuli!
Kule Marekani na Italia huwa hawanawi mikono? Something extra should be done !Ok
Lakin tuhakikishe tunanawa mikono yetu kila Mara kwa maji na sabuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakusaidia kuondokana na ujinga, mshukuru.Unagombana na mtu usiyemjua,unanijua Mimi? Mbona unanipangia cha kuandika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hivi Uganda kama kafunga mpaka na sisi, wa kwetu ukiwa wazi inasaidiaje?Kwa hili hata mimi namuunga mkono, kufunga mipaka sasa hivi kutaiweka Tanzania pabaya kuliko ilipo hivi sasa.
Jamani sii anaishi Dodoma siku hizi? Dar anakuja kutembea tuu!Mzee ni mwoga wa Corona katukimbia DAR