CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

Sasa kama uliendelea mpaka juu kwanini unashindwa kuelewa vitu vidogo kama hivi mkuu? Anyway mimi niliishia la saba lakin nilisoma GS na DS kwa nyakati tofauti tofauti.
Basi Bwana Mkubwa....Imani Ni kuwa na matarajio yatarajiwayo ...wewe endelea kuwa na Imani kuwa Mambo yapo Sawa!
 
mitandaoni ni kutishana tu, mitaani watu wanaendelea na shughuli zao kama kawa ida
 
RAISI WA NCHI AMESEMA AMEMALIZA AMEONYESHA IMANI YAKE. (Mwanye kupinga mwache apinge)
Kutoka 14
13 Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.

14 BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.

15 BWANA akamwambia Musa, Mbona unanililia mimi? Waambie wana wa Israeli waendelee mbele.

16 Nawe inua fimbo yako, ukanyoshe mkono wako juu ya bahari, na kuigawanya; nao wana wa Israeli watapita kati ya bahari katika nchi kavu.

17 Nami, tazama, nitaifanya mioyo ya Wamisri kuwa migumu, nao wataingia na kuwafuatia, nami nitajipatia utukufu kwa Farao, na kwa jeshi lake lote, kwa magari yake na kwa wapanda farasi wake.

18 Na Wamisri watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, nitakapokwisha kujipatia utukufu kwa Farao, na magari yake, na farasi zake.

19 Kisha malaika wa Mungu, aliyetangulia mbele ya jeshi la Israeli, akaondoka akaenda nyuma yao; na ile nguzo ya wingu ikaondoka hapo mbele yao, ikasimama nyuma yao;

20 ikafika kati ya jeshi la Misri na jeshi la Israeli; napo palikuwa na lile wingu na lile giza, lakini lilitoa nuru wakati wa usiku; na hawa hawakuwakaribia hawa usiku kucha.

21 Musa; akanyosha mkono wake juu ya bahari; BWANA akaifanya bahari irudi nyuma kwa upepo wa nguvu utokao mashariki, usiku kucha, akaifanya bahari kuwa nchi kavu, maji yakagawanyika.

22 Wana wa Israeli wakaenda ndani kati ya bahari katika nchi kavu; nayo maji yalikuwa ukuta kwao mkono wa kuume, na mkono wa kushoto.
 
Hakukua na haja hiyo, huwezi funga mipaka ya nchi hujaanalyze tatizo vizuri kujua effect yake itakuaje, ni obvious mipaka ikifungwa nchi itakua kwenye wakati mgumu sana kiuchumi na ugonjwa wenyewe hata bado ilikua haijulikani kama utasurvive kwenye mazingira kama ya Tanzania ambayo climate ni tofauti.
So we were gambling right?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi hua nasifia panapo sifiwa na napondea panapopondewa sina upendeleo. Kwa hili Magu kafanya la maana sana. Nchi kama Italy zilikua za kwanza kufunga mipaka leo hii wanaongoza kwa vifo. Kufunga mipaka sio solution maana watanzania watarudi tu huwezi fungia wananchi wako wasirudi sanasana utafukuza wageni peke yake ila watanzania watakaorudi nyumbani watauleta
Hivi mnaakili kichwani kweli??
Hide your stupidity for once. Kama sisi hatutafunga mipaka its okay ila tusianzw kubeza nchi zilizokaa chini na experts wakaamua kufunga borders na kupiga lockdown.


Hoja yako yakijinga sana kama MTU ambae hujaenda shule.

Italy maambukizi yalikuwa tayari ya halaiki sababu walikuwa na dharau nyingi sana mwanzoni ilipofika maji ya shingo ndo wakapiga lockdown sasa unapiga lockdown tayari maelfu washaambukiza result zake ndo vifo Ila hata hivo better late that never hivo vivo uvionavyo vitapungua tu waliokuwa infected wote wakiisha either kwa kufa au kupona
Then utaanza kuona result za lo lockdown after months kadhaa.




Remember Wuhan was locked down for 72 days miezi miwili na karibia nusu ndoumeona hali imetulia vile hawakukaa tu wanachill mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kutokuweka lockdown baadhi ya miji, tutegemee community transmission ya nguvu.kiukweli tamko LA mkuu Wa nchi sijalipenda, huku Mbele Ni janga.
 
Hii corona imenifanya niwadharau sana baadhi ya members humu ndani. Sijawahi kujua kuwa kuna baadhi ya members ni wajinga kiasi hiki
Hahaha mkuu niamini ninachokuambia Mimi binafsi nimekuja to terms kwamba Africa tupo tulipo sio kwa makosa aisee most of the population has an incredible low IQ ,kwa tatizo hilo watu wa namna hii hawaelimiki hata wawe doctors na proff wa kwenye makaratasi huwa wanabaki na ujinga wao asili.

We always have a good reserve of our stupidity that we never want to lose [emoji23][emoji23][emoji23].Na usishangae jamii forum nenda vyuoni huko kaa na soon to be graduates uone fikra zao uone how limited they are!

Au observe closely wasomi hawa utakuta MTU anajua madesa Ila swala LA common sense ndogo sana linamshinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safii
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119].
NO LOCKDOWN.
wale WATABIRI wa humu.
Kama mlibet.MMELIWA.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Watakaokufa WAMEKUFA..
Wapo watakao baki.
Kwani lock down ndo dawa ya corona?
Sawasawa na mkifa sijui nchi gani itawategemea...inategemewa na nini maana nyinyi wenyewe tegemezi.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Watakaokufa WAMEKUFA..
Wapo watakao baki.
Kwani lock down ndo dawa ya corona?

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Nyie ndio wale wafa na tai shingoni,yaani chochote asemacho jiwe mnamuunga mkono!
 
Back
Top Bottom