chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Makonda alikuwa anajiapiza mbele ya Kalemani kwamba atampigania mpaka arudi bungeni, naona maji yamekorogeka, Makonda kapigwa chiniWe chawa wa Dr.Medard Kalemani mwambie huyo mtu mfupi wako akatafute shughuli nyingine ya kufanya. Jimbo litaenda na yeyote kati ya hawa;Katwale,Magembe na Dotto James (kama ataingia ulingoni) ila siyo Kalemani.
Wewe na watu wako mliwapiga figisu sana Katwale na Magembe mbele ya aliyekuwa Katibu Mwenezi Paul Makonda alipokuja Geita. Na kitendo cha Makonda kubadilishiwa majukumu kimefungua milango zaidi kwa usiowapenda kunyakua Jimbo 2025.