Makonda alikuwa anajiapiza mbele ya Kalemani kwamba atampigania mpaka arudi bungeni, naona maji yamekorogeka, Makonda kapigwa chiniWe chawa wa Dr.Medard Kalemani mwambie huyo mtu mfupi wako akatafute shughuli nyingine ya kufanya. Jimbo litaenda na yeyote kati ya hawa;Katwale,Magembe na Dotto James (kama ataingia ulingoni) ila siyo Kalemani.
Wewe na watu wako mliwapiga figisu sana Katwale na Magembe mbele ya aliyekuwa Katibu Mwenezi Paul Makonda alipokuja Geita. Na kitendo cha Makonda kubadilishiwa majukumu kimefungua milango zaidi kwa usiowapenda kunyakua Jimbo 2025.
Hilo jimbo atachukuwa mpinzani, jifanyeni wajuaji sana muoneKichwa huwa kinakatiwa juu, sio miguuni, huyo atakatwa Dodoma, tunamsubiri
Kamati ya Siasa yote ipo mfukoni kwake, labda mumkate DodomaMakonda alikuwa anajiapiza mbele ya Kalemani kwamba atampigania mpaka arudi bungeni, naona maji yamekorogeka, Makonda kapigwa chini
Umejuaje?Kichwa cha habari chajieleza na kimepigiwa mstari.
Katwale anawaza kuwa mkuu mbunge tu. Anachowaza ni kumg'oa Kalemani.
Alipoteuliwa ukuu wa wilaya Chato hakuwa na muda kutatua kero za wananchi. Masalani pamoja na Chato kuwa karibu na ziwa Victoria bado kuna shida ya maji kubwa.
Yeye kikubwa ni alijizatiti kuwa na makundi na kuwa vikao vya kuweka mikakati ya kumg'oa Kalemani tu.
Sasa amehamishwa. Wananchi kila kona ya mji wa Chato wanafurahia.
Huyu binto amewahi kuwa kiongozi wapi ndani ya, serikali?Kalemani hafai Kwa Sasa,,anayefaa ni kijana mabaye ni mhadhili mtu wa watu anaitwa Binto Mawazo Binto
Yuko serikalini,,mtu wa watu labda shida msimuoe sbb hawezikuhonga fedha kama za akina kalemaniHuyu binto amewahi kuwa kiongozi wapi ndani ya, serikali?
Katwale ndo senge kabisa na haliwezi kurudi, bichwa kama boga. Na soon atatumbuliwa kabisaManunga lipumbavu hilo ndio liwe libunge la Chato? Labda kwa kutumia nguvu za ushirikina, maana nasikia huwa anapaa. Vi hela vyake vya shule yake ya hovyo vitaishia kwenye kampeni
Kalemani hatarudi, hata amalizie hela zake kwenye kampeni, huyu Kalemani ndio ile timu ambayo Mkuu wa Majeshi anasema ilisahau katiba.
Katwale anarudi hapo kwa nguvu zote, Kalemani kwa kutumia uhusiano wake na jiwe alikuwa anachochea Katwale afungwe jela na apoteze kazi
Nyie hamumuwezi kalemani, endelea kubwatuka humu, mkimaliza kaleni ugali wenu wa mia mbili, mkafie mbele hukoBaada ya kusikia katwale na mwenzake Maghembe wamehamishwa wilaya na kwenda tabora, Kalemani alifurahi sana na team yake uchwara ya kina Ramso wanaomdanganya kiufupi unajisumbua sana na uyo kijana wenu magege mnaemtumia kwa mission zenu chafu hadi za kumuua kijana wa watu aliyetaka kujenga shule ya bwina kama hisani mkidhani anafanya hivyo ili aje agombee ..
Jpm ndiye alikutumbulisha Chato hakuna aliekuwa anakijua ila leo umekuwa adui wa kila mtu hata familia ya marehemu hatukutaki hata kukuona..
Huko Chato ni ya kila mtu hauna hatimiliki ya Chato na kwakuwa unaonesha ubabe kazi ni ndogo tu iliyobaki ..
Well said, wanajaribu kujipigia debe wao kwa kumponda mwingine. Shameless creatures. Halmashauri haifanyi kazi sababu watendaji na watoa maamuzi ambao ni DC, DED na mwenyekiti wa halmashauri wote wanawaza kumkwamisha Mbunge ili wao wagombee 2025. Kitu ambacho wanasahau ni kwamba Kalemani kawapita mbali sana, ni msomi anayeweza kufanya kazi sehemu yeyote, hategemei uchawi ili apate kula yake.Baada ya kusikia katwale na mwenzake Maghembe wamehamishwa wilaya na kwenda tabora, Kalemani alifurahi sana na team yake uchwara ya kina Ramso wanaomdanganya kiufupi unajisumbua sana na uyo kijana wenu magege mnaemtumia kwa mission zenu chafu hadi za kumuua kijana wa watu aliyetaka kujenga shule ya bwina kama hisani mkidhani anafanya hivyo ili aje agombee ..
Jpm ndiye alikutumbulisha Chato hakuna aliekuwa anakijua ila leo umekuwa adui wa kila mtu hata familia ya marehemu hatukutaki hata kukuona..
Unatishia wazazi wa vijana wanaonyesha Nia ya kugombea baadae unaleta uchonganishi kila sehemu kuanzia kijiji hadi nyumba vijana kwa wazee hawakutaki umeifanya nini Chato katika ubunge wako wewe? Yote aliyofanya jpm wakati ni mbunge hadi waziri ndiyo hayo hapo hadi sasa nini umekifanya?
Huko Chato ni ya kila mtu hauna hatimiliki ya Chato na kwakuwa unaonesha ubabe kazi ni ndogo tu iliyobaki ..
Kwa wasiomfahamu , huyu Katwale ndiye aliyeshiriki kuchoma moto ile gari ya Chadema wakati wa Ziara ya Tundu Lissu wilayani humoKichwa cha habari chajieleza na kimepigiwa mstari.
Katwale anawaza kuwa mkuu mbunge tu. Anachowaza ni kumg'oa Kalemani.
Alipoteuliwa ukuu wa wilaya Chato hakuwa na muda kutatua kero za wananchi. Masalani pamoja na Chato kuwa karibu na ziwa Victoria bado kuna shida ya maji kubwa.
Yeye kikubwa ni alijizatiti kuwa na makundi na kuwa vikao vya kuweka mikakati ya kumg'oa Kalemani tu.
Sasa amehamishwa. Wananchi kila kona ya mji wa Chato wanafurahia.
ππ Huna Intel yeyote unaropoka tuKwa wasiomfahamu , huyu Katwale ndiye aliyeshiriki kuchoma moto ile gari ya Chadema wakati wa Ziara ya Tundu Lissu wilayani humo
Taarifa zote zimo humu humu JF , Mimi wala hata sikuwepo Chato mkuu , na wala polisi haikukamata hata mtu , DC duni kama Katwale tumsingizie ili iweje fuatilia taarifa zake zimo humuππ Huna Intel yeyote unaropoka tu
Yupo ofisi gani mkuu,Yuko serikalini,,mtu wa watu labda shida msimuoe sbb hawezikuhonga fedha kama za akina kalemani
Kwa hiyo wabunge wote wametokana na kuwa na nafasi za ajira serikalini!?? Au kwa sbb wewe uko serikalini....this will be my new experience but I don't think so probably you missed some record....Huyu binto amewahi kuwa kiongozi wapi ndani ya, serikali?
Namuona Katwale akiapishwa pale Dodoma Bungeni, karibu siku hiyo angalau upate vipapatio vya kukuKatwale ndo senge kabisa na haliwezi kurudi, bichwa kama boga. Na soon atatumbuliwa kabisa