Chato yalipuka kwa shangwe ujio wa Lissu

Kikokotoo kijiandae Nyati anakwenda kukisambaratisha....
 
Tulia chali yangu jombaa kunywa kwanza maji ....wenzako wanakikao cha dharura pale Lumumba
Najua huwezi jibu Kwa sababu hata wewe unashangilia kuona sura ya Lisu ila hujui sera yake yeyote.

Huko Chato Samia atakuwa na vingi vya kuonesha Sasa kazi kwenu kuchagua matokeo au sura na porojo.
 
Najua huwezi jibu Kwa sababu hata wewe unashangilia kuona sura ya Lisu ila hujui sera yake yeyote.

Huko Chato Samia atakuwa na vingi vya kuonesha Sasa kazi kwenu kuchagua matokeo au sura na porojo.
Mimi sijabeba mawe wala marungu🤣🤣🤣
 
Huyu kauli zake ni Tata na Tete. Mimi nasubiri maana ya alichokisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…