Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Aliwaona vibaka wote wa mali ya umma kasoro Makonda na Sabaya!!
 
Vipi daraja la Magufuli Busisi
 
Aliwaona vibaka wote wa mali ya umma kasoro Makonda na Sabaya!!
Ukiwa baba wa familia na unalea watoto wako na wa ndugu ikatokea watoto wote wakafanya kosa adhabu itakuwa tofouti kati ya watoto wako na hao wa ndugu 😀
 
Eti vichaa kumi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Pumzika Mwanamwema wa Africa.
Tutaonana Asubuhi Njema [emoji120] .
 
Comment ya peno hasegawa si ioni mbona au imenyofolewa na MODS?
Waliifuta mkuu.
1. Daraja la Tanzanite Dar
2. Mikataba ya madini
3. Ukuta wa mererani
4. Utumbuaji
5. Uzinduzi wa malipo ya serikali kupitia control number
5. Umeme wa Tsh 27,000/=
6. Elimu bure darasa la kwanza hadi form four
7. Ukarabati wa. Viwanja vya ndege na meli
8. Bomba la mafuta Hoima kwenda Tanga
9. Kuanzisha Tarura, Latra,
10. Kununua radar kwenye viwanja vya ndege vyote.
11. Kuivunja bodi ya ununuzibwa madini
12. Kuanzisha tume ya madini na madoko ya kuuzia madini
13. Kuvunja Jiji la Dar es salaam
14. Kumfukuza kazi Nape mnauye, mchechu wa NHC,
15. Kwa miaka mitano kutokwenda ulaya
16. Kuzirudisha halmashauri zote ofisi ya Rais.
17. Kuondoa watu wenye vyeti feki kwenye mfumo wa mishahara ya serikali.
18. Kukarabati shule za serikali za zamani
19. Kununua ndege mpya 11
20. Kufufua reli ya Dar to arushaTanzania
21. Kukarabati bandari ya mtwara, tanga na Dar
22. Kukusanya na kuzitambua mali za CCM
23. Kuanzishwa wizara mpya ya Madini
24. Miaka mitano umeme haujawahi kukatika
25.ujenzi wa hospitali za kanda, mikoa na wilaya
26. Ujenzi wa mshakama za wilaya
27. Kuongeza idadi ya hifadhi za tsifa na jeshi usu.
28. Kufuta mishahara ya 45,000,000
29. Kuongeza viwanda nchini
30. Kuwaeleza ukweli watanzania kuhusu covid 19
31. Kupunguza urasimu kwa watumishi wa umma
32. Kuanxisha ofisi za msajili wa hati za ardhi kila mkoa na kufuta ofisi za kanda
33. Kukamata wakwepa ushuru
34. Kampuni ya Halotel ya JK , wabia wake kwenda segerea kwa kutokulipa kodi
35. Serikali kununua magari yake kwa mfumo maalumu kupunguza madalali
36. Kiswahili kuanza kutumika mahakamani kutolea hukumu
37. Kuanzisha mji mkuu Dodoma.
38. Ujenzivwa uwanja wa ndege wa msalato.
39. Uzambazaji wa maji jiji la arusha, mradi wa bilion 500
40.…..,, Samia haya niliyoyataja anayaweza kuyasimamia?kuyaendeleza?kubuni vingine ? CCM tujiuliza maswali kabla hatujamwambia Samia achukue fomu 2025
 
Ukiwa baba wa familia na unalea watoto wako na wa ndugu ikatokea watoto wote wakafanya kosa adhabu itakuwa tofouti kati ya watoto wako na hao wa ndugu 😀
Baba Wa familia hatakiwi kuwa mbaguzi!! Huo ni mfano wa baba mwenye mapungufu! Baba Jambazi!
 
Naomba niwe wa kwanza kunyosha mikono kwamba nimepita huko mitandao mingine nimejionea mabandiko ya huyu mwamba.

Nikaona aibu nikasema ngoja nirudi tu WhatsApp. Wakati nachungulia status, nikakutana tena na mabandiko.

Nimeamua kuzima simu yangu na kulala, hivi huu uzii ndio namalizia kupost ili nimalizie kulala.

Hii siku sio nzuri kwangu kabisa, ni legacy gani yenye nguvu kiasi hiki. Yaani hadi vitoto vinapost status za huyu jamaa.
 
Hao ni vibaraka walioandaliwa kwa siku ya leo.

Watu wanaawaangalia tu kwa jinsi wanavyojifurahisha. Wanatumia nguvu nyingi sana kulazimisha huyu mtu akubalike na wanajitahidi sana kufunika maovu yake.

Wanaovaa mavazi ya kidini wanatumika tu kufanikisha huu mpango wa kujidanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…