Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

as long as he involved himself with vanishing of innocent citizens, lolote alilolifanya ni ushetani mtupu. acha afe aliwe na funza!
tuliofiwa na dugu zetu ni ushetani unaofanyika leo
Wale waliokuwa wanashughulikiwa kabla hajaingia ikulu na kufa au kupotea na wao wanaihusu awamu ya tano?.

Kombe alishughulikiwa na Mkapa miaka ile, Kubenea kumwagiwa tindikali, na yenyewe ni awamu ya tano?.

Haya masuala ni ya kimfumo zaidi, ni vigumu kumhusisha moja kwa moja Rais, kama kila dhambi inayofanywa na mfumo anahusika rais basi Kikwete na Mwinyi wangekuwa wameshazikwa zamani sana.
 
Hii tarehe Nina mashaka nayo.

Kabla ya tarehe 17 mwezi wa 3 kufika siku tatu nyuma niliona mizinga na wanajeshi wakitokea bagamoyo na kuelekea DAR.
...
Unajuaje kwamba mizinga hiyo hiyo ilitumika kumuaga magufuli? Uliona namba zake?
 
Daima tutakukumbuka uliwatetea wanyonge mbele ya wanyonyaji na vibaka wa Mali za uma.

Ukaitetea nchi mbele ya ulimwengu wa dhulumu, kazi uliifanya na Mungu akujalie huruma yake isiyo na ukome.

Pumzika kwa amani shujaa wa taifa letu.

Nipo hapa CHATO kuhadhimisha mwaka mmoja wa Jemedari wetu JOHN POMBE MAGUFULI.
Tupo pamoja
 
Hii tarehe Nina mashaka nayo.

Kabla ya tarehe 17 mwezi wa 3 kufika siku tatu nyuma niliona mizinga na wanajeshi wakitokea bagamoyo na kuelekea DAR.

Na mizinga hyo hyo ndo ilitumika kwenye kumuaga magufuli pale uwanjani.

Swali walikuwa keshakufa au walijua kuwa atakufa?wakajiandaa mapema
Kwa mtu mkubwa kama huyo hawezi kufa siku hiyo hiyo akatangazwa mda huo huo lazima kwanza watafte watakao kuwa wafariji wa taifa, viongozi wakitaifa, viongozi wa dini, NGO'S Na wengine
 
Popote ulipo mdau onyesha kwa jinsi gani ulipokea tangazo la kifo cha rais Magufuli popote ulipokuwa.
 
16475193688810.png
 
Nipe tathimini ya kiuchumi ya ilo daraja refu la busisi , au huko linako elekea Kuna resources gani ambayo itainua uchumi wetu, otherwise ni zawadi kwa mkwe wake kama wanavyosema wengi
Acha ujinga daraja LA busisi ni kiungo muhimu na mikoa ya geita,kagera na kigoma. Jaribu kuficha upumbavu wako maana wenyeji ndio wanaelewa umuhimu wa hilo daraja sio wewe mpuuzi mmoja.
 
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akiwa miongoni mwa walioshiriki kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Chato mkoani Geita, leo Alhamisi Machi 17, 2022.

FOCrYBaXMAs_-D3.jpg

Picha ya East Afrika TV
 
Kumbukizi:Siku ambayo Makonda alikabidhiwa impunity yake🤗🤗🤗
 
Wale waliokuwa wanashughulikiwa kabla hajaingia ikulu na kufa au kupotea na wao wanaihusu awamu ya tano?.

Kombe alishughulikiwa na Mkapa miaka ile, Kubenea kumwagiwa tindikali, na yenyewe ni awamu ya tano?.

Haya masuala ni ya kimfumo zaidi, ni vigumu kumhusisha moja kwa moja Rais, kama kila dhambi inayofanywa na mfumo anahusika rais basi Kikwete na Mwinyi wangekuwa wameshazikwa zamani sana.
Huyu alijinasibu n udikiteita na matendo ya wazi wazi ya mauaji. Hao uliowataja ilibidi wawajibishwe na Katiba kwa yaliyotoke wakiwa watawala wakubwa , lkn ndiyo hivyo nchi za kiafrika
 
Wale waliokuwa wanashughulikiwa kabla hajaingia ikulu na kufa au kupotea na wao wanaihusu awamu ya tano?.

Kombe alishughulikiwa na Mkapa miaka ile, Kubenea kumwagiwa tindikali, na yenyewe ni awamu ya tano?.

Haya masuala ni ya kimfumo zaidi, ni vigumu kumhusisha moja kwa moja Rais, kama kila dhambi inayofanywa na mfumo anahusika rais basi Kikwete na Mwinyi wangekuwa wameshazikwa zamani sana.

Risasi alizomiminiwa Lissu unaweza kuzitenganisha na Bwana yuuule 🧠
 
Back
Top Bottom