Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Wale waliokuwa wanashughulikiwa kabla hajaingia ikulu na kufa au kupotea na wao wanaihusu awamu ya tano?.as long as he involved himself with vanishing of innocent citizens, lolote alilolifanya ni ushetani mtupu. acha afe aliwe na funza!
tuliofiwa na dugu zetu ni ushetani unaofanyika leo
Kombe alishughulikiwa na Mkapa miaka ile, Kubenea kumwagiwa tindikali, na yenyewe ni awamu ya tano?.
Haya masuala ni ya kimfumo zaidi, ni vigumu kumhusisha moja kwa moja Rais, kama kila dhambi inayofanywa na mfumo anahusika rais basi Kikwete na Mwinyi wangekuwa wameshazikwa zamani sana.