... huko Kanda ya Kusini na Kanda ya Magharibi mko wangapi? Hamjazi hata kibaba ninyi! Hoja ya Waziri Ummy ni kwamba Kanda ya Ziwa wako wengi! Hata Prof. Kabudi aliwahi kulisemea hili nadhani kwenye Sherehe za Uhuru Mwanza (2019). Mtakapokuwa "wengi" mtajengewa! Ha ha ha.Hii si sawa, kanda ya ziwa hospitali za rufaa mbili, kanda ya kusini hakuna, kanda ya magharibi hakuna. mmhh ukabila/ ukanda unapanda chati, umoja mshikamano utaporomoka tusipojisahihisha
Kwa maendeleo... ya pili kwa kitu gani?
... kama kigezo ndio hicho sawa.Kwa maendeleo
uko unakoelekea ndugu yangu mimi simo,
Ni mtazamo tu nenda kwenye sensa ya 2012 utajua wako wangapi huko kusini na magharibi. kanda ya ziwa inajazwa na haohao kutoka kanda ya magharibi na kagera kwa kukosa huduma, daresalaam inajazwa kutoka kusini kwa kukosa huduma, narudia si haki, mshikamano wetu umetetereka... huko Kanda ya Kusini na Kanda ya Magharibi mko wangapi? Hamjazi hata kibaba ninyi! Hoja ya Waziri Ummy ni kwamba Kanda ya Ziwa wako wengi! Hata Prof. Kabudi aliwahi kulisemea hili nadhani kwenye Sherehe za Uhuru Mwanza (2019). Mtakapokuwa "wengi" mtajengewa! Ha ha ha.
Kigezo kipi... kama kigezo ndio hicho sawa.
... dah! Umenikumbusha MATEMBEZI YA MSHIKAMANO! Sijui hii kitu iliishiaga wapi.Ni mtazamo tu nenda kwenye sensa ya 2012 utajua wako wangapi huko kusini na magharibi. kanda ya ziwa inajazwa na haohao kutoka kanda ya magharibi na kagera kwa kukosa huduma, daresalaam inajazwa kutoka kusini kwa kukosa huduma, narudia si haki, mshikamano wetu umetetereka
... rejea post niliyoku-quote.Kigezo kipi
Ukweli hatuna pesa hizo za mavitu makubwa mapya kila siku.Mara, Simuyu, Kahama na Shinyanga wajisogeze Bugando na Sekou Toure!
Bukoba, Ujiji, Kigoma, Biharamulo wajisogeze Chato.
Toka Muingeleza ameondoka watu wa Kigoma na Kagera kila kitu mpaka wakifuate Daslam, Haiwezekani! Kabisa
Akimaliza hospitali aweke Chuo Cha Kimataifa Nyanza University.
Pembezoni ipi unayoisemea?! Daslam?, Zama hizo zimeisha.... kwa hiyo ni kanuni siku hizi kwamba huduma muhimu za kijamii - hospitali, vyuo, n.k. sharti viwe katikati? Kwamba "pembezoni" hawana chao?
Maendeleo sio... rejea post niliyoku-quote.
Pembezoni ipi unayoisemea?! Daslam?, Zama hizo zimeisha.... kwa hiyo ni kanuni siku hizi kwamba huduma muhimu za kijamii - hospitali, vyuo, n.k. sharti viwe katikati? Kwamba "pembezoni" hawana chao?
Lakini hawajasema yeye alicheka. Wamesema ni baadhi ya wajumbe wa kamati anayoiongoza.Ila hapo kwa Serukamba kucheka pamenifurahisha sana.
Naunga mkon hoja yako.... Ummy naye kashindwa kujenga hoja vizuri. Kama Kanda ya Ziwa ina "wagonjwa" wengi kuliko maeneo mengine kwanini Chato? Au Chato ni center ya kanda ile? Kwanini sio Kahama, au miji mingine mikubwa kama Shinyanga?
Namimi nimecheka [emoji1][emoji1]