isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Kwanza ni kutoe hofu, mimi sifungamani na vyama vya kisiasa wala kidini.Naona umechachamaa hatari kujibu ..
Hakuna alopinga huduma za jamii kuwepo kila nyanda.. Hoja hapa ni Hivi kweli ni Chato tuu? Hapa hakuhitaji hata akili ya darasani kuelewa kuna upendeleo kwa chato(tusitaje yalowekwa chato ) ambako sehem nyingine penye uhitaji zaidi hapakupewa kipaumbelele
Huduma ya jamii inatakiwa iwe sehem yenye kuhitajika sana na kufikaka kwa urahisi yaan umbali na miundo mbinu bora jee kwa kanda ya Ziwa nzima hapo chato ndo katikati et? Au tutete tuu ilimradi ugali uwepo mezani siku ziende...
Pili, Wakati vitu vinarundikwa Daslam hamkujua kuna wahitaji? Je ulikuwa ni upendeleo?
Chato ipo katikati ya Wilaya takribani sita. Ndio maana nimesema Musoma na viunga vyake, Kahama, Shinyanga na Simuyu wafike Mwanza.
Ujiji, Kigoma, Bukoba, Biharamulo, Geita wafike Chato. Maana walifika Daslam kwa takribani miaka 60.