isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Mada inaeleza ni Hospitali ya Kanda ya Ziwa na siyo Kanda ya Geita.... tuanzie na mkoa wenyewe wa Geita; hivi kwa akili ya kawaida sana katikati ni wapi? Naona Chato iko CENTRAL kwelikweli!
View attachment 1328475
Hivyo basi kama ni Kanda ya Ziwa, Chato inakuwa baina ya Wilaya za Kigoma na Kagera pia hizo za Geita.
Huku Mwanza hizo hospitali mbili zinakuwa zimeshika Mara, Shinyanga na Simuyu.
Mbona hii haitaji Masters ya Mipango miji.