GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Ndiyo yuko nao Jirani.Wafanye mpango kama vipi wale jamaa wa Maliasili waje wamchukue na wamuhamishe maeneo hayo maana kuna shughuli nyingi za kiraia maeneo hayo tangu kuwepo na bandari bubu maeneo yale.
Na bila shaka atakuwa anatokea kwenye ule msitu wa wavunja matofali unaopakana na hicho chuo
😂😂😂😂😂😂 muulize yeye alienda kufanya nini malindi kama sio umbea tu ameshindwa kutulia zake 365Ila wavulana wa Dar mnachekesha. Unaogopa chatu kweli? Asante mama kwa bandari, vijana wako hawana ujasiri wa kukabiliana na chatu, hawataweza mikiki mikiki ya bandari hawa.
We endelea tu kujizururisha pasipo mipango tutakung'oa kucha ulienda kufanya nini Malindi au ulienda kugagua mtambo wa magazeti?Ndiyo yuko nao Jirani.
Ndomana wakati mwingine tunaambiwa usiwaamshe wale waliyolala,unawaacha na ubish waoMpumbavu kama huyo na Wenzake baadhi unaowaona hapa ( Waliochangia ) waelewe nini Mkuu?
Wewe ndiyo uliyeuelewa vyema huu Uzi na Kuchangia Kiumakini na kwa tahadhari Kubwa ya huyo Chatu ambayo GENTAMYCINE nimeitoa / nimeileta hapa JamiiForums kwa nia njema tu ili nisaidie na niokoe Wengine wasije Kudhurika nae.
halafu wanadamu huwa wanamchukulia chatu poa sana. vile vile unavyomwona, anachohitaji yeye ni kukurukia akukamate tu, akishafanikiwa, kujiviringisha mwilini mwako ni dakika sifuri, na ukishaona amejiviringisha, hata uige greda lije livute ajiviringue haliwezi, ana nguvu za ajabu kuvunja mbavu na kuhakikisha haupumui na muda mchache tu unapoteza maisha. wapo watu walioshuhudia wenzao wakifa mbele yao na hawana uwezo kumwokoa mtu ambaye tayari ashakamatwa na chatu, sio rahisi. zamani kijijini kwetu tulikuwa tunaambiwa ukimchoma na sindano au kitu chenye ncha kali anaweza kuachia, ila sasa ngozi yake ni nguvu ajabu, unaweza kukata na panga likadunda. nakumbuka hiyo ndio ngozi kijijini kwetu tulikuwa tunatengenezea ngoma, zinalia vizuri kweli. nashauri maliasili waende wakamwue haraka huyo au la wanakijiji wajitolee wakammalize tu.Mida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana.
Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni tu mtakutana nae.
Ushauri wangu kama GENTAMYCINE kwa taasisi zote kuu mbili nyeti nchini Tanzania ni kwamba kwakuwa mji unakuwa na watu wanahamia maemeo yaliyokuwa ni maalum kwa mafunzo yao (Maporini/Misituni) basi ikiwapendeza wawe wanahamishia hayo mapori mafunzo yao maeneo ya mbali zaidi ili viumbe hatari kama huyu chatu (joka kubwa) wasiwe hatarishi kwa wananchi / wakazi.
nalo neno usikute mfugo wa mtu huo
Chatu anatakiwa kuhamishwa, siyo kuuawa. Ukizingatia pale alipo inawezekane kwa ni ni ndiyo natural habitat yake, hajavamia isiookuwa watu ndiyo wamevamia natural habitat yake.Kijijini walikuwepo wenye uwezo wa kumeza mpaka ndama na tuliwaua sana, huyo GENTAMYCINE aka Popoma ilibidi apambane naye amuue sio kutupigia kelele hapa.
Kwakua ni eneo la mafunzo ni sahihi awepo hapo kwani ni sehemu ya watakavyo kumbana navyo maporini.Mida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana.
Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni tu mtakutana nae.
Ushauri wangu kama GENTAMYCINE kwa taasisi zote kuu mbili nyeti nchini Tanzania ni kwamba kwakuwa mji unakuwa na watu wanahamia maemeo yaliyokuwa ni maalum kwa mafunzo yao (Maporini/Misituni) basi ikiwapendeza wawe wanahamishia hayo mapori mafunzo yao maeneo ya mbali zaidi ili viumbe hatari kama huyu chatu (joka kubwa) wasiwe hatarishi kwa wananchi / wakazi.
Chatu mpaka uwe imetulia,siyo una pilika zako ndiyo akukunje,ukikaa kiboya unaviuta au unakunya,hapo akutie kimianiMsiwe na mnabisha Kila kitu hivi unaifahamu chatu shughuli yake akikuotea
Unachoma kitu chenye ncha Kali chili tumboni ambako ni laini,siyo juu,juu hata shoka linadundahalafu wanadamu huwa wanamchukulia chatu poa sana. vile vile unavyomwona, anachohitaji yeye ni kukurukia akukamate tu, akishafanikiwa, kujiviringisha mwilini mwako ni dakika sifuri, na ukishaona amejiviringisha, hata uige greda lije livute ajiviringue haliwezi, ana nguvu za ajabu kuvunja mbavu na kuhakikisha haupumui na muda mchache tu unapoteza maisha. wapo watu walioshuhudia wenzao wakifa mbele yao na hawana uwezo kumwokoa mtu ambaye tayari ashakamatwa na chatu, sio rahisi. zamani kijijini kwetu tulikuwa tunaambiwa ukimchoma na sindano au kitu chenye ncha kali anaweza kuachia, ila sasa ngozi yake ni nguvu ajabu, unaweza kukata na panga likadunda. nakumbuka hiyo ndio ngozi kijijini kwetu tulikuwa tunatengenezea ngoma, zinalia vizuri kweli. nashauri maliasili waende wakamwue haraka huyo au la wanakijiji wajitolee wakammalize tu.
chini ya tumbo kuna magamba ujue.Unachoma kitu chenye ncha Kali chili tumboni ambako ni laini,siyo juu,juu hata shoka linadunda
Ndo kulaini kule,yake magamba yasikutishe,Tena pale linapou Hana tumbo na gamba la juu ndiyo lainichini ya tumbo kuna magamba ujue.
Wanyama huwa wanafanya kitu kilekile muda uleule,njia ileileKwa hio kila siku mida hio chatu ndio anatoka mishe zake anarudi chimbo [emoji23][emoji23]