Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka mtu amezwe ndio mtaacha mizaha kwenye mambo serious..Ila wavulana wa Dar mnachekesha. Unaogopa chatu kweli? Asante mama kwa bandari, vijana wako hawana ujasiri wa kukabiliana na chatu, hawataweza mikiki mikiki ya bandari hawa.
Bila kuwasahau dawasa pia,wakutane nae ili awatie adabu raia tupate majiHuyo chatuvinatakiwa akutane na wanaccm au staff wa Tanesco wakata umeme awatafune kabisa
Chatu ni mboga tamu sana hasa ukimchoma na upate mihogo ya kukaanga au ndizi chomaMida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana.
Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni tu mtakutana nae.
Ushauri wangu kama GENTAMYCINE kwa taasisi zote kuu mbili nyeti nchini Tanzania ni kwamba kwakuwa mji unakuwa na watu wanahamia maemeo yaliyokuwa ni maalum kwa mafunzo yao (Maporini/Misituni) basi ikiwapendeza wawe wanahamishia hayo mapori mafunzo yao maeneo ya mbali zaidi ili viumbe hatari kama huyu chatu (joka kubwa) wasiwe hatarishi kwa wananchi / wakazi.
Hivi huyo nyoka bado hajauawa? Niliwahi kusikia malalamiko siku za nyuma kuwa kuna chatu mkubwa maeneo hayo.Mida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana.
Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni tu mtakutana nae.
Ushauri wangu kama GENTAMYCINE kwa taasisi zote kuu mbili nyeti nchini Tanzania ni kwamba kwakuwa mji unakuwa na watu wanahamia maemeo yaliyokuwa ni maalum kwa mafunzo yao (Maporini/Misituni) basi ikiwapendeza wawe wanahamishia hayo mapori mafunzo yao maeneo ya mbali zaidi ili viumbe hatari kama huyu chatu (joka kubwa) wasiwe hatarishi kwa wananchi / wakazi.
Ili ujue ujasiri wanao au hawana chatu ataletwa mlangoni kwao.🤔Ila wavulana wa Dar mnachekesha. Unaogopa chatu kweli? Asante mama kwa bandari, vijana wako hawana ujasiri wa kukabiliana na chatu, hawataweza mikiki mikiki ya bandari hawa.
Mura leo umeniangusha sana tatah, chatu kitu kidogo sana.Mida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana.
Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni tu mtakutana nae.
Ushauri wangu kama GENTAMYCINE kwa taasisi zote kuu mbili nyeti nchini Tanzania ni kwamba kwakuwa mji unakuwa na watu wanahamia maemeo yaliyokuwa ni maalum kwa mafunzo yao (Maporini/Misituni) basi ikiwapendeza wawe wanahamishia hayo mapori mafunzo yao maeneo ya mbali zaidi ili viumbe hatari kama huyu chatu (joka kubwa) wasiwe hatarishi kwa wananchi / wakazi.
Huyo chatu ni game changer kwa wale wenye kelele!!Ila wavulana wa Dar mnachekesha. Unaogopa chatu kweli? Asante mama kwa bandari, vijana wako hawana ujasiri wa kukabiliana na chatu, hawataweza mikiki mikiki ya bandari hawa.