Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Dar hamna chatu wa kula mtuMsiwe na mnabisha Kila kitu hivi unaifahamu chatu shughuli yake akikuotea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar hamna chatu wa kula mtuMsiwe na mnabisha Kila kitu hivi unaifahamu chatu shughuli yake akikuotea
Ishu za kwenda huko unapoita mbele ndio zilinifanya nikapajua dar kinyume na apo nisingetaka ata kufika dar.Watu wa Dar ni kutumia akili na siyo nguvu. Wamikoani kila siku ndoto zao ni kuja Dar wakati wa Dar ndoto zao ni kwenda mbele. Nyie wa mikoani njooni mumue huyo Chatu sisi tutakuwa tunawaongoza kwenye jambo lenye kuhitaji akili
Nasikia wewe unapenda kukatikia chatu za wanaume wenzio, elewa maana ya neno chatu GENTAMYCIMEMpumbavu kama huyo na Wenzake baadhi unaowaona hapa ( Waliochangia ) waelewe nini Mkuu?
Wewe ndiyo uliyeuelewa vyema huu Uzi na Kuchangia Kiumakini na kwa tahadhari Kubwa ya huyo Chatu ambayo GENTAMYCINE nimeitoa / nimeileta hapa JamiiForums kwa nia njema tu ili nisaidie na niokoe Wengine wasije Kudhurika nae.
Nyoka wa plastiki huyo asikutisheMida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana.
Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni tu mtakutana nae.
Ushauri wangu kama GENTAMYCINE kwa taasisi zote kuu mbili nyeti nchini Tanzania ni kwamba kwakuwa mji unakuwa na watu wanahamia maemeo yaliyokuwa ni maalum kwa mafunzo yao (Maporini/Misituni) basi ikiwapendeza wawe wanahamishia hayo mapori mafunzo yao maeneo ya mbali zaidi ili viumbe hatari kama huyu chatu (joka kubwa) wasiwe hatarishi kwa wananchi / wakazi.
Ninachofurahi uliyemtaja hapa ni Parody GENTAMYCIME na siyo Mimi GENTAMYCINE Halisi wa JamiiForums.Nasikia wewe unapenda kukatikia chatu za wanaume wenzio, elewa maana ya neno chatu GENTAMYCIME
Pumbavu.Takataka tu. Mkilewa kila mtu kitengo au anakijua kitengo kuliko wao.
Duh unawapa tahadhari naona kuna baadhi humu wanakuletea ligiPumbavu.
Nimeshasema ( Kuandika ) katika Maelezo hapo juu kuwa ni Mbweni ya Malindi kilipo Chuo Kikubwa cha Mafunzo ya Wana Usalama wa Taifa ( TISS ) ukiachilia vile vya Dodoma na Zanzibar je, hukuona au unataka tu Kunikera kwani ni kama vile Unanisanifu.Chatu akamatwe apelekwe zoo. Lakini sijui Mbweni gani unayoizungumzia. Kwa sababu mini napenda sana kutembea maeneo ya Tegeta na Bunju.
Na mini nina experience ya chatu kijijini. Chatu alinisogelea up to a distance of one metre( or less) kabla sijakimbia.
Ishu za kwenda huko unapoita mbele ndio zilinifanya nikapajua dar kinyume na apo nisingetaka ata kufika dar.
Ndio ila sio sawa kusema wa mikoani hawawazi kuishi ulaya na America wanawaza dar .Umeona sasa kuwa dar ndiyo kila kitu
Jana usiku nimemuota Netanyahu. Tulikuwa ndani ya ndege. He was in the seat next to me.Nimeshasema ( Kuandika ) katika Maelezo hapo juu kuwa ni Mbweni ya Malindi kilipo Chuo Kikubwa cha Mafunzo ya Wana Usalama wa Taifa ( TISS ) ukiachilia vile vya Dodoma na Zanzibar je, hukuona au unataka tu Kunikera kwani ni kama vile Unanisanifu.
Hivi(nilimuota tu sijawahi kumuona).....Haumi. Anakubana Mbavu Mpaka huwezi kupumua. Unakufa na anakumeza Mzima Mzima bila Kukutafuna ! [emoji26]