Chawa wa Mama wamemgeuka Salim Kikeke; wamempora nafasi yake wamempa Mobhare Matinyi

Kikeke hana shule yule ni mhuni mhuni tu. Kilichomtoa BBC ni shule sio kingine.
Sio rahisi BBC kumuachisha kazi mfanyakazi hapo London labda kama huzijui vema employment laws za Uingereza. Ni rahisi tu ndani ya miaka 2 ya mwanzo wa ajira lakini hata hiyo ina discrimination disclaimer, baada ya hapo sio rahisi- ni mchakato mrefu sana. Kumbuka pia kwamba wazungu wa UK hawajali sana elimu ya darasani, wanajali sana uzoefu kazini na ndio maana wanakazania sana apprentships, work expirences etc kwa watoto wao. na kuna makamuni hutoa degree kwa uzoefu wa kazi pekee. Nakuomba tu acha kutoa sweeping statements bila ushahidi maana defamation itakuhusu.
 
Pole sana. fanya kazi nyingine Salim si lazima uwe msemaji wa serikali. halafu nafasi haikuwa yako. ulikuja nayo ?au ulizaliwa nayo? mbona kazi zipo nyingi tu?
 
Salim ana PhD in Mass Communication mkuu. Una swali lingine?
Kwa elimu yake ana vigezo, ila sidhani kama ana PhD.
Kikeke attended Birkbeck, University of London from 2011-2015, where he received a Bachelor's degree in International Relations and affairs.

Watu wanatakiwa wakubaliane tu na ukweli kwamba Salim Kikeke aliacha kazi BBC ili kwenda kujiunga na EFM.
Kwa networth yake ya kati ya shikingi bilioni 5 hadi 8 anaweza akachagua kuishi maisha atakayo hapo nchini.
 
Anaandaliwa u DC kama kipozeo au nafasi nyingine yoyote ya kuteuliwa itakayohusisha fani yake.. Mkeka ujao next year utambeba lakini kama akiwa mtiifu kwa chama na serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uko sawa kabisa maana kuna wilaya mbili Wilaya Ya TEMEKE na wilaya Ya HANDENI hazina Ma DC kutokana na uteuzi wa juzi na jana
 
Umeandika Kama wewe ndie kikeke mwenyewe kwasababu unajua mambo mengi kwamba ulishawishiwa utoke bbc kuja kupewa nafasi ya msemaji wa serikali lakini hiyo umeikosa sasa unaomba kupewa kazi nyingine. Nakushauri fanya subira, cv yako inakubeba utapata kazi tu usijali
 
Wafanyakazi wa BBC huwa wanafundishwa maadili ktk taaluma ya habari yanawafanya waive sawasawa na kutokubali kuyumbishwa.
Kwa hiyo Zuhura Yunus nae alifundishwa akafuzu huko BBC? Please!

Tupa kule wote hawa mizigo kuanzia Charles Hillary, Zuhura Yunus, Salim Kikeke, wote ni hot garbage. Taka mbichi.

Nani aliwahi kurudi kutoka mashirika ya habari ya Magharibi akawa tofauti, aka-make a difference ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…