Checkmate: Ndege mpya ya kivita ya Urusi inayoikosesha Marekani usingizi

heat seeking missiles zipo pia,
 
Well put!

Lakini mimi huwa naona Giant wa Middle East ni Iran na Saudi. Ukiangalia kila kinachoendelea ikiwemo migogoro, ni Iran na Saudi ndio wanaoiamua ni kama Cold War. And Qatar, huwezi sema ni wivu, ni power struggle. Qatar ni mfadhili wa vikundi hasimu kwa Saudi mfano Hamas na Muslim Brotherhood, na ni partner wa uturuki na Iran, and mbaya zaidi yuko mpakani kwake. So, sio wivu ni a real threat kwa saudi kwenye mission yake ya kuitawala Gulf region.
 
Mindege mipya kila siku inatengenezwa tu, chaajabu vita hamna. Waache woga huo wafanye mambo mengine tu
 
Mindege mipya kila siku inatengenezwa tu, chaajabu vita hamna. Waache woga huo wafanye mambo mengine tu
Wanatengeneza kwa ajili ya tahadhari wewe ina maana kwako unakaa bila hata karungu kisa hujawahi kuvamiwa?
 
japan hii hii mig 29 za korea kaskazini zinapiga misele kwenye anga la kijapani?
 
F-2 ni copy ya F-16 na ndo maana watengenezaji ni Wamarekani(lockeed martin) na wajapan(Mitsubishi.sasa hapo kuna maajabu gani ndugu?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Iyo F-2 uwezi ukaifananisha na mig-29 hata siku moja.ni chizi pekee atayeweza kufananisha F-2 na mig-29.ndo kwanza nakusikia wewe.kwanza iyo F-2 imeshiriki vita gani?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
japan hii hii mig 29 za korea kaskazini zinapiga misele kwenye anga la kijapani?
Korea Kaskazini haina ubavu wa kupeleka kopo lake lolote kwenye anga la Japan. Hawajawa serious kiasi hicho, tena ndege zao hazina upgrade, yani wao Mig-29 ndio za kulingia wakati Japan ina F-35. Na hata wakipeleka kwenye anga la Japan watarudishwa.

Leta evidence za unachokisema
 
Mig -29 ina historia kubwa sana kwenye uwanja wa Vita na pia umeuzwa Nchi nyingi sana Duniani.mpaka Marekani wenyewe walishawai kununua Mig-29,kuifananisha F-2 na Mig-29 ni kukosa eshima kabisa.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
F-2 ni copy ya F-16 na ndo maana watengenezaji ni Wamarekani(lockeed martin) na wajapan(Mitsubishi.sasa hapo kuna maajabu gani ndugu?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mimi sisemi maajabu bali uwezo. Swali lako lilitaka ndege ya Japan yenye uwezo kuzidi ndege yeyote ya Russia.

Kwa hoja yako hii tuifananishe na case ya Su-30MKI ya India na Su-30MKK ambazo ni licence production za Su-30 ya Russia. Hizi zilikuwa jointly manufactured ila zilipofanya vizuri Russia wakazitumia kutoa derivative ya Su-30SM. Now huwezi sema MKI au MKK hazina maajabu wakati zinaipiga Su-30 early version.

Na kama unaona joint production haina maajabu ujue Eurofighter Typhoon imetengenezwa kwa consortium. Hata F-35 kuna mikono ya nchi zaidi ya tano

Hiyo F-2 unayoona haina maajabu inatumia makombora ya Japan, mabomu ya Japan, radar ya Japan tena ikiwa AESA ya kwanza duniani kwenye fighter jet. Iko optimized na modified kwa ajili yao
 
Iyo F-2 uwezi ukaifananisha na mig-29 hata siku moja.ni chizi pekee atayeweza kufananisha F-2 na mig-29.ndo kwanza nakusikia wewe.kwanza iyo F-2 imeshiriki vita gani?View attachment 1867542

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hapa hakuna hoja naona mipasho. Kama mimi ni chizi ninayezungumzia F-2 ambayo iko operational tangu mwaka 2000, wewe ni tahahira kabisa unayezungumzia Checkmate ambayo iko kwenye 'show room'. Haina injini, wala radar na haijawahi fanya testing ya kwanza kabisa ya ndege, taxiing. Ina 0 operational hours.

Mimi nimezungumzia kijana ambaye hajaanza kusaidia wazazi wake. Wewe unazungumzia mimba

F-16 ina kill ratio ya 92:13 wakati Mig-29 ina 18:21. Yaani vitani Mig-29 zimekufa nyingi kuliko zilivyoua, hii inachangiwa na marubani wake wabovu na uwezo wake pia. Now, Japanese F-2 iko comparable na F-16, muulize mtoto wa la kwanza hapa Mig-29 na F-2 zikikutana nani atashinda provided that everything is constant
 
Ina historia kubwa na naipa heshima yake. Mbona Mig-21 Fishbed ina historia kubwa zaidi, kwamba ndio itakuwa na uwezo kuliko za sasa?
Mmarekani ana Tomcats, Sabre na nyingine zenye historia. Utasema zina uwezo kuliko nyingine?

Kwenye hiyo historia unayosema tafuta kill ratio yake uilete hapa
 
KOPOO!!! VIPI KUHUSU MAKOMBORA YANAYOPITAGA JUU YA ANGA LA JAPAN ?
 
KOPOO!!! VIPI KUHUSU MAKOMBORA YANAYOPITAGA JUU YA ANGA LA JAPAN ?
Kupitisha kombora kwenye territorial water nalo ni jambo la kustaajabisha. Kwanza kule hata air defense system hazipalindi, nani alinde maji ya bahari dhidi ya kombora. Japan wana mpaka mkubwa wa majini, ni vigumu Korea kufyatua kombora na lisipite kwenye bahari sasa litaenda wapi ili lifanyiwe testing.
Siku Korea wakipitisha kombora lao kwenye ardhi ya Japan ndio tuone ukorofi wao
 
Nishakwambia F-2 ni copy ya F-16 na pia ni ndege ya ushirika,na hata ivyo bado haijashiriki operation yoyote ile ya kijeshi.lete taarifa za F-2 alafu mimi nilete taarifa za Mig-29M alafu tuone ipi ipo juu maana tusiongee tu.niambie kitu gani unachoona kipo juu kwenye F-2

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sasa umeniletea ndege ya Japan au ndege ya ushirika?.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
HA HA HA KIJANA
KIJANA KUMBE HUJUI KUNA MAKOMBORA YANAYOPITA KATI KATI YA ANGA LA JAPAN ALAFU MENGI NDIO HUANGUKIA KARIBU NA MAJI YA BAHARI YA JAPAN KWANZA KOREA CYBER UNIT WAKIAMUA KUJAMU RADA ZA KILA INA HUKO JAPAN HAWASHINDWI KUNA SIKU F 35 YA JAPAN ILIKUWA INAFANYIWA MAJARIBI LAKIN ILIVYO INGIA TU KARIBU NA MAJI YA KOREA IKAPOTEZA MAWASILIANO NA KUANGUKA HAPO HAPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…