Mr. Mimi sipingani na F-16 ya Marekani maana ni ndege iliyofanya vizuri katika soko la ndege za kivita,nilichokupinga ni wewe kufananinsha ndege za Urusi na mataifa kama China,korea,japan.
Kwa hapa Duniani ukimtoa Urusi na Marekani wengine wanafata,wala hakuna nchi ya kubishana na Marekani na Urusi kwenye sekta ya silaha.
Iyo F-2 unayoisema wewe,watalamu wengi wanasema ni upgrade ya F-16.kwa iyo wala hakuna maajabu ya kusema kuwa wajapan wametumia nguvu nyingi
Sent from my Infinix X650B using
JamiiForums mobile app