Checkmate: Ndege mpya ya kivita ya Urusi inayoikosesha Marekani usingizi

Marekani hajawahi nunua ndege ya urusi labda useme waliichukua mahali kwenda kuisoma lakin si kuhitaji kuitumia ni sawa na urusi kununua ndege za marekan au ulaya labda naye achukue mahali kwenda kuisoma tu
 
Marekani hajawahi nunua ndege ya urusi labda useme waliichukua mahali kwenda kuisoma lakin si kuhitaji kuitumia ni sawa na urusi kununua ndege za marekan au ulaya labda naye achukue mahali kwenda kuisoma tu
Ahaa ahaa unachekesha wewe.Marekani alishawahi kununua ndege nyingi tu za Urusi,wala sio jambo la siri mbina lipo wazi tu labda weww ndo ujui

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 

Hujui kabisa position ya US in Air Force military powers. Hii ni ndege cha mtoto sana mbele hata ya F-22 Raptor, achilia mbali F-35 lightning II

US is already in 6th Generation of Warplanes in action, they call it "Magic"
Ww unaongelea Checkmate, hii checkmate kwanza wameibia shape kwenye F-35

 
Hakuna ndege haijawahi pata ajari. Kuitumia ajari ya F-35 kwamba imeletwa na Wakorea ni sifa za kulazimisha. Mara kibao Korea imefyatua makombora na yakafeli kwahiyo nayo tuseme ni Japan kahusika au nani

Yani Korea Kaskazini iitishie Japan ambayo ina teknolojia kibao duniani. Wewe una bidhaa gani unatumia ambayo imetolewa na Korea Kaskazini. Industry zina tabia ya kutegemeana, sasa hii Korea ambayo jna obsolete airfoce ndio iipige Japan. Vita ikitokea leo hautoamini kuona launch sites zote za makombora zinaharibiwa, submarine pens zote zinapotezwa.
Kaone Six Days War ilivyopigwa watu walikuwa wanahesabu idadi ya silaha, ila hawajui adversary wao anajua silaha zao zilipo na ana silaha ndogo ila anajua pa kuanzia kuharibu silaha za adui.

Waliwahi kuwepo NAZI Germany na ukichaa wao waliamini watakapiga kanchi kadogo GB kenye eneo dogo, wanajeshi wachache na silaha chache, aulize walifika wapi. Waarabu kibao walidhani wataipiga Israel ila unajua kilichotokea
 
Nani kamzuia Russia kufanya ushirika si ni kwa sababu ya terms zake ambazo sio favourable kwa washirika wake. Hujui hii Su-57 India alikuwepo kwenye program ila alijiondoa kisa ya cost overruns na kutoelewana kwa baadhi ya vitu kama technology transfer. Sasa kitendo cha Mitsubishi kulipia licence na kuchukua 60% ya bei ya ndege hizo ni cha kawaida kwenye international business, usizoee mabiashara ya Kijamaa. Huyo Russia yuko anafanya ushirika na China kutoa jetliner

Nimekutajia kill ratio za F-16 zinazidi mbali za Mig-29 sasa unataka nini kingine wakati F-2 ni more than F-16 na ni made in Japan

Taarifa za F-2 sina kwa sababu haijawahi pigana popote, kama vipi futa uzi wako maana si unataka tuzungumzie ndege zilizopigana. Kwa nini ulete Checkmate ambayo hata haijawa na powerplant. Ndege iko kwenye maonesho wala components haina

Huwezi leta taarifa za Mig-29 kwa vile haina positive kills vitani imepigwa kwa namba nyingi kuliko ilivyopiga. Utaendelea kusema "nilete taarifa za Mig.." zilete zikukatae
 
Hata iyo kill ratio unayosema ni taarifa kutoka pakistani na Israel,wala hakuna ushahidi wowote ule wa kuonyesha Mig-29 zimetunguliwa nyingi.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mr. Mimi sipingani na F-16 ya Marekani maana ni ndege iliyofanya vizuri katika soko la ndege za kivita,nilichokupinga ni wewe kufananinsha ndege za Urusi na mataifa kama China,korea,japan.

Kwa hapa Duniani ukimtoa Urusi na Marekani wengine wanafata,wala hakuna nchi ya kubishana na Marekani na Urusi kwenye sekta ya silaha.

Iyo F-2 unayoisema wewe,watalamu wengi wanasema ni upgrade ya F-16.kwa iyo wala hakuna maajabu ya kusema kuwa wajapan wametumia nguvu nyingi



Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mig-29 walizinunua kutoka moldova mwaka 1997

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Weka data hapa huko ulikoztoa data zko wazi marekan hana ndege ya urusi hata ya kuokota wala urusi hana ndege ya marekan hata ya kuiba ila Israel aliwahi iba ndege ya urusi huko iraq kwaajili ya kuisoma na kujua udhaifu wake
 
shida lako unaizarau korea ila nakuhakikishia vita ikizuka hakuna military software yoyote itakayofanya kazi alafu kushambulia launch haimanish ndio kushinda vita kumbuka korea wana mobile road na secret silo base wakahuo korea wanauwezo wa kurusha rocket zaid ya laki tatu kwenda tokyo japan ndani ya dakika 5 kiufupi ukubali ukatae japan bado jaman wenyenye walituma nyambizi zinazoendesha na system maalum mbaya zaid nyambizi zile zilikua stili chaajaa zikawa jammed na wakore pia korea wanasatellite wanauwezo kuz detect military base zote za japan
 
Showroom [emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…