Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkubwa hapo kwenye bluu umechemka
 
Mkubwa hapo kwenye bluu umechemka

Bello!Sio lazima ukubaliane na nilichoandika,huo ni mtazamo wangu tu,ila kumbuka inawezekana,labda ningesema Final ni Chelsea na Barca hapo ningekuwa nimechemka ila kwa hiyo hapo juu ni mtazamo wangu ninavyoona timu zilizobaki.na wewe unaruhusiwa kusema.
 

...Belo anasemaaaaaaa; kuifikiria CHELSEA fainali unachemkaaaaaaaaaaa! 🙂
 
HAYO NDO YALIYOMKUTA KOCHA WA BAYERN !!
Klinsmann crucified
 
Last edited:
...Belo anasemaaaaaaa; kuifikiria CHELSEA fainali unachemkaaaaaaaaaaa! 🙂

Ze Blues tutaingia final na kombe tunabeba mwaka huu. Hakuna mtu anajiombea mabaya duniani, kila mtu anamatumaini ya kufanya vizuri ktk kila jambo lake. Mengineyo yanakuwa ni matokeo.
 
Fainali ya Chelsea VS Villareal
Ndio maana nilikwambia umechemka
 
Even though it was a European Madness but am glad you guyz you are through, hope tutakutana Once again Rome...

Viva The Bluuuuuz!
 
Mbu vipi umehamia Barca?

...la hasha, mimi naishabikia team yeyote inayocheza dhidi ya Chelsea! ...halafu huyu mbantu mchoma nywele, anayejifanya 'mayai' kwa kuanguka anguka hovyo ananikera ajabu!


Mbu yuko radhi asupport yoyote lakini sio Man Utd..alafu mkuu Mbu vipi hizi tetesi kuwa ulikuwa mshabiki wa Liverpool?

...sio kweli bana, 😀 ...am Liverpool sympathizer! and Arsenal supporter!​
 


mtani wangu inabidi sasa nikuweke kwenye 'cross hairs' za my
sniper rifle maana umehamia ule upande mwengine.Kumbe unausongo
na sisi bana?...subiri Man U wakiwachapa basi afu tuone kama msimamo
wako wa kusupport any team playing against Chelsea utasimama.
 
Last edited:
Unajua watu wanapenda jina na umaarufu lakini kwa sasa timu iko Stanford Bridge na mwaka huu hakuna kufanya makosa kama ya mwaka jana yeyote atayetoke ni nyama tu
 
Unajua watu wanapenda jina na umaarufu lakini kwa sasa timu iko Stanford Bridge na mwaka huu hakuna kufanya makosa kama ya mwaka jana yeyote atayetoke ni nyama tu

Kwa Beki ipi hapo darajani?? kwanza naona kama FA tunakutana Final na Washika Bunduki wa imarati!!
 
Hongereni wapenzi wenzangu wa Chelsea!!! ni wakihistoria believe it or not (you probably should, because it's true), that is the first time Chelsea have beaten Arsenal in an FA Cup tie since 20 January 1947, when the truly, truly great Tommy Lawton bagged a brace in a third round second replay - a White Hart Lane
 

...duuuuuuuuuuh! tangu mwaka arobaini na sabaaaaaaaaaaaaa!?
 

HAlafu na wewe unataka kuniuzi sasa hivi ... hebu clap kimya kimya mie sijapona na ya jumanne iliyopita
 




Kamati ya ufundi inafanya mavituzz...unaona mambo ya Huddink hayo?
Bado Man U.
 
Last edited:


Flowers for the Hillsborough Family Support Group




John Terry steps in to halt Theo Walcott's progress.




Florent Malouda.



The French winger receives the congratulations from his team-mates.




 


Adebayor ayaachwa mataani na Ivanovic



Robin van Persie loses his footing.



This time it's Chelsea's Michael Essien going to ground




Didier Drogba fires a late winner for Chelsea.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…