Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Aaaw Helll Nooooo!!! Duh!! Shadow hongera mgonjwa katoka ICU anatembea.
 
Bjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjj lambadaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
nILISEMAAAAAAAAAA MPIRA DAKIKA TISINI. mANU U ARE NEXT
 
Re: Barcelona Vs Chelsea UEFA Champions 09

--------------------------------------------------------------------------------

Kwa heshima zote!
Familia ya Bw. FERGIE inapenda kuwakaribisha katika harusi ya mwanae MAN U atakaemuoa mchumba wake wa muda mrefu CHELSEA itakayofanyika The Stadio Olimpico(Rome) tarehe 27/5/2009. Karibuni sanaa!..
__________________


jamani NI MAN U VS BARCELONA kazi kweli kweli
 
Mmemuona Guardiola alivyokimbia a la Mourinho miaka 8 iliyopita?
 
mpira umeisha chelsea 1 barcelona 1
 
Bjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjj lambadaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

He heeee! Lambada inachezwa hapa we acha tu! Ila sishangilii sana inabidi nimpooze mista maana hali yake hailelezeki..he he
 
Hii mechi imejaa unafiki mkubwa sana.

Penalti ngapi tumenyimwa?

Damn it!
 
Chelsea wameniboa kweli kweli... msianze visingizio vya refa mshatolewa rudini mkalime maua sasa. Shadow hongera ingawa sio timu yako lakini umefarijika kidogo.
 
The best team in the World has won. Iniesta nilishasema kwamba ndiye atakayekuwa muuwaji.

Masanilo natumaini umeshakunywa nusu kaputi, Invicible home za mara kwa mara zimerudi. Mama MIA kudos!!!
 
yaaaaaaaaaaaani pa mojaaaaaaa na kuwa 12

sisi 10


CHELSEA 1 BARCELONA 1

polen ndugu zetu jaribuni tena
 
Chelsea wameniboa kweli kweli... msianze visingizio vya refa mshatolewa rudini mkalime maua sasa. Shadow hongera ingawa sio timu yako lakini umefarijika kidogo.

Icadon, asante mzee. Ukitaka kuwafunga the bluez muwe kumi wenyewe wawe 12 na refa. Mzee wa kujirusha sasa anaweza kuama. teh teh teh
 
jamani DROGBA KAGEUKA KICHAA WANAMKIMBIZA MIREMBE ......
 
Back
Top Bottom