BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Masanilo natumaini umeshakunywa nusu kaputi!!!
Shadow!
Masa amehuzunika kweli na hatakuwepo jamvini mpaka siku ya fainali, najitahidi kumbembeleza wapii..Hajielewei.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masanilo natumaini umeshakunywa nusu kaputi!!!
Shadow!
Masa amehuzunika kweli na hatakuwepo jamvini mpaka siku ya fainali, najitahidi kumbembeleza wapii..Hajielewei.
Jamani basi linaanza safari sasa hapa rosegarden wale mashabiki wa barcelona tunapitia break pint afrika sana ..b bar na bar za karibuni then river between kreti 10 za kwanzaa za bia zangu
bado sana, barca wanahitaji goli moja tu, kagoli kamoja tu! kwisha habari ya ze bluez.
Mpe pole mwambie achague timu . Pili mpe fomula ya kwamba mpira kuna matokeo ya aina 3.
BJ Endelea kula lambada la nguvu leo. What a come back!!
Icadon,Invisible, Ab-Tichaz, Aljuniortz, Masanilo na wadau wengine wa Ze bluez poleni sana kwa masahibu yaliyowakumba uwanja wa nyumbani. Nilitegemea tutakutana Roma mtuangalie tukimalizia the Italian Job lakini ndio hivyo labda mwakani tena.
Big up Shadow maana leo ulikamia Barca na wameinuka vinara!!!
Nampa pole ila kabla ya fainali itabidi awe ameshachagua timu na kwavile wamefungwa na Barca anaweza kuwa manure ila tutakua zaidi fainali day!.
Kiaina full kujiachia na Lambada hapa,nifanyaje Messi juu!!!!.....Kweli mpira hauna fainali,nilijua ze bluez leo wanashinda na goli la mapemaaa ila imekuwa tofauti na mategemeo!..
Icadon,
Usiombe hawa jamaa wabebwe hivi Roma, mtakasirika SANA I can bet.
Penalti mbili ZA WAZI refa anapeta tu?
I see, inaudhi sana. Heri akupe ukose mwenyewe tu. Au mimi ndo sijui maana ya penalti?
Najua wapo wanaosema huyu REFA anakaa wapi tutamfute tumammalize .....
kama mnakumkbuka yule refa wa sweden alietumiwa msg kwamba
tunakuja nyumbani mwako hatuta mwacha mtu hata MBWA WAKO....TUTAMMALIZA
natumaini huyu refa NDANI YA HIZI SIKU 7 ANAITAJI KUTOKAA NYUMBANI MWAKE
MASANILO mpira umeisha tuondoe tofauti zetu ulikuwa uashabiki tu sie ndio tunaanza safari we uko bongo tukupitie......