Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

..im not chelsea fan lakini wakuu hii inauma kweli kweli ukizingatia last yr final chelsea ilikuwa washinde,gaddam ref kawabeba hawa spanyola...huyu ref afungiwe na tusimwone Rome maana anaweza kutuharibia,go go manh...all the way!
 
Pole sana INV ndio mpira kuna kushindwa kushinda draw.....all the best for nexty champion league
 
BJ, unakumbuka uliposema kwamba mwali kishatolewa nilikwambia mpira dakika tisini na mwali anaweza kuibiwa?

Yani leo kwa raha zangu nimetulia. Ngoja sasa niweke picha za goli hapa.

Yaani we acha tu, wakati nataka kukujibu si mambo yakajipa Barca nikaona mmh! Shadow alijuaje, ha ha
Kweli nimeamini zaidi leo kuwa mpira dakika 90, lol!!!!! Haya tuwekee picha tuone..
 
..Barca is no match for Manchester United!
 
..im not chelsea fan lakini wakuu hii inauma kweli kweli ukizingatia last yr final chelsea ilikuwa washinde,gaddam ref kawabeba hawa spanyola...huyu ref afungiwe na tusimwone Rome maana anaweza kutuharibia,go go manh...all the way!

Duh hadi wewe umechukua breki kwenye jukwaa la siasa kuja uku hehehe, mwaka huu Abromahvic lazima auze timu maana ametoka kapa.
 
Invisible, Ab-Tichaz, Aljuniortz, Masanilo na wadau wengine wa Ze bluez poleni sana kwa masahibu yaliyowakumba uwanja wa nyumbani. Nilitegemea tutakutana Roma mtuangalie tukimalizia the Italian Job lakini ndio hivyo labda mwakani tena.

Mkuu Icadon!
Masa hajiwezi sasahivi inabidi nipokee pole zake..Yaani he is so down,kweli ushabiki una kazi tena kama kuna mechi kama ya leo...
Sijui kama usingizi utakuja!

Halafu unakumbuka tulimwambia Exaud awe Barca akakataa, naona leo ataota yupo Spain....jana huzuni leo tena huzuni,jamaa ana gundu kweli!
 
Pole zenu sana Ze Bluuuz, naona hamchekani na Liverpool na Arsenal wote trophiless msimu huu. Everton wananyakua FA pia lol


Kaka taratibu aisee... huo mtindo wako umekaa kiubongo kidogo!!!

YNWA
 

Mwambie Masa ndio ukubwa kuna kupata na kukosa ila miaka miwili mfululizo ni noma. Huyo Exaud analack judgment linapokuja swala kuchagua timu ipi ya kushangilia. Ebu nikumbusheni mabeki wangapi wa Barcelona hawatacheza kwenye fainali?
 
kama kuna siku ambayo MKUU MSANILO hatoisAhau ni leo

mwaka 1992 ilikuwa BARCELONA NA MAN U FINAL KOMBE LA WASHINDI NA ALIEIFUNGIA MAN U ALIKUWA AMEHAMA KUTOKEA BARSELONA MWAKA MMOJA KABLA JE NANI
KUMWADHIBU MWENZAKE ROME??? JIBU
 
wewe wasema. Subirini siku hiyo!

...subiri tuu lakini sasa rudi kule kwenye playoffs,my boy KG ameondoa any possibility ya celtics kuchukua ubingwa.lakini anything is possible ila yule mtoto(Rondo) sometimes anachemsha sana ingawaje ni mzuri sana!
 
Heh heheheeeeeeeeeeeeee... utajuuuutaaaaa kuwafahamu!!!!!!!!!!

..hakuna kujuta,ubingwa ni wetu tuu,Barca game ndogo ile hawawezi simama na united..wale ni tatu mtungi bila majibu!
 
kama kuna siku ambayo MKUU MSANILO hatoisAhau ni leo

mwaka 1992 ilikuwa BARCELONA NA MAN U FINAL KOMBE LA WASHINDI NA ALIEIFUNGIA MAN U ALIKUWA AMEHAMA KUTOKEA BARSELONA MWAKA MMOJA KABLA JE NANI
KUMWADHIBU MWENZAKE ROME??? JIBU

mwaka 1992 Barcelona alicheza na timu ya Italy.
 



Leo Messi of Barcelona and Chelsea's John Terry tussle for the ball





Michael Essien scores a wonder goal to put Chelsea 1-0 up against Barcelona










Michael Essien celebrates his goal




Guus Hiddink gives instructions to his Chelsea team




Ashley Cole slides in on Leo Messi



Leo Messi gets away from John Terry
 
Jamani messiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii we ll be micin u so much
chelsea fans
__________________
 



Barcelona president Joan Laporta in the stands




Roman Ambrovich in the stands
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…