AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 18
Mshabeba Kombe la Pre-season? Huenda likawa kombe pekee la ANCELOTI
heheheee.... baelezee hao bandugu
Tumewachapa Club America ya Mexico bao 2 - 0.
Viva Ze Bluzz once again.
PRE-SEASON ni kwa ajili ya kutangaza club sasa nyie mmefanya ndio mashindano ya kukomalia game zote wanacheza kina Drogba ,LampsTatizo lenu watani zetu mnawivu na ni waoga wakutupwa!!! Mechi za majaribio mnaenda malaysia, sijui wapi hukooo hata status ya futbol yao haijulikana halafu mnasema mnaenda kujipima nguvu.
Tukiwapiga watu 2x2x2@per mnabeza; why. kwaniniiiii?????😕
Tunawatumia salamu kwamba msimu unaoanza tumejizatiti kuhakikisha tunaziba gep zote.
PRE-SEASON ni kwa ajili ya kutangaza club sasa nyie mmefanya ndio mashindano ya kukomalia game zote wanacheza kina Drogba ,Lamps
Naona mechi hufuatilii vizuri,wewe ulivyoona tunashinda ukafikiri ni kikosi chote kinapangwa angalia kikosi kilichocheza mechi ya mwisho na Club America
Chelsea (4-4-2) Hilario (Turnbull h-t) , Mancienne (Ivanovic 66), Alex, Carvalho (c), Hutchinson (A.Cole), Essien, Sinclair (Shevchenko h-t), Malouda, Deco, Kalou (Pizzarro 63), Sturridge (Di Santo h-t)
Sasa Belo tuambie Drogba yuko wapi hapo?Chelsea tutatisha sana msimu ujao,mkubali mkatae.
Kila msimu mnasema mnatisha, well mnatisha kwa kubadilisha makocha....
Ebanaeee, hao chelki ni machampioni wa makombe ya mbuzi aisee!!! walikuwa wakali enzi za blair waziri mkuu, maurinho kocha na kitwete ndio kwaaanza anaapishwa
Lakini labda msimu huu watachukua kombe la FA
"I had many conversations before Chelsea and I decided on a divorce,'' he said. "It was difficult for me because we loved each other but the relationship went in one direction and it was best for everyone.
"Since I left I became champion again but they have not been champions again. I keep on winning and they don't.''