AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 18
Mshabeba Kombe la Pre-season? Huenda likawa kombe pekee la ANCELOTI
heheheee.... baelezee hao bandugu
Tatizo lenu watani zetu mnawivu na ni waoga wakutupwa!!! Mechi za majaribio mnaenda malaysia, sijui wapi hukooo hata status ya futbol yao haijulikana halafu mnasema mnaenda kujipima nguvu.
Tukiwapiga watu 2x2x2@per mnabeza; why. kwaniniiiii?????😕
Tunawatumia salamu kwamba msimu unaoanza tumejizatiti kuhakikisha tunaziba gep zote.