Tumeshapoteza point 4 kwenye match mbili zilizopita hii sababu yako ya kitoto mno.. Ilikuwa ni match ya kuja full mkoko kupata point bila kujali udhaifu wa mpinzani.Mkuu Ipswich town kwa matokeo ya nje ya uwanja ilikuwa mechi nyepesi sana hiyo, ndio maana kapanga hicho kikosi.angekuwa anacheza na Liverpool asingepanga hivyo.
Wachezaji wenu wanatembea sana uwanjani.
😂😂😂Haya bhana, muwe na usiku mwema 😭
Tunalia kupoteza point ubingwa sisi tunajua bado.. tumeawaachie nyie mpambanie ubingwa.Poleni. Acheni kulia lia hampo title race
Hapo sawaTunalia kupoteza point ubingwa sisi tunajua bado.. tumeawaachie nyie mpambanie ubingwa.
Mkuu embu tulia na kunywa maji, Sanchez angekuwepo unafikiri kuna kitu cha maana kingebadilika?Kuna siku nilisema sanchez mzuri sana kuliko hiko kitoto kma tunaingia kwenye conference kweli
Ww ndio unatoa hela ya kununua wachezaji? 🤣January tusajili mabeki wa kazi kiungo mshambuliaji tutafute mwingine palmer siku akipata jeraha itakua noma disasi,felix,madueke,fofana uza wote hawana mchango
Wewe ni kengeKwanza mie nikili tu kocha nae anazingua sana ndio maaana kuna wakati tunasema uwezo wake kma wa arteta