Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mi naona shida ipo kwenye management ya wachezaji. Kivipi?

1. Mchezaji caliber ya Nkunku, Felix nadhani waliposajiliwa kwenye mikataba yao kuna kipengele kilianisha wataanza 1st Eleven na sio benchi, mbali na mkataba pengine kocha aliwahidi wakati wa usajili kwamba wataingia kwenye kikosi cha kwanza/watakuwa wachezaji muhimu kwenye kujenga team.

2. Pamoja na kitu tunachoita rotation ya wachezaji, nadhani kuna wachezaji hawapendi hiyo kitu wanaamini uwezo wao ni kuanza kila mechi na sio benchi.

Chakufanya mi Nadhani Felix Na Nkunku wauzwe, wasajiliwe wachezaji ambao wanapambana kuwa world class, tayari kutokea sub na kwenda kuonyesha kiwango kizuri.

Mfano Liverpool na Arsenal always first eleven yao inajulikana kama ni mabadiliko huwa yanakuwa kidogo sana labda mchezaji wa 1st team kupata injury au ana Kadi.

THE BLUES kocha sometimes anapanga Wachezaji kuwafurahisha wachezaji na mashabiki kuondoa manung'uniko. Mfano jana kuwapanga Nkunku na Felix ilikuwa kiushabiki zaidi.

Tunatakiwa kuwa na 1st team ya wachezaji ambayo wamejitosheleza kwa ubora na wachezaji sub wanaopambana kupata nafasi ya kucheza angalau dakika 10 wakaonyeshe uwezo na kuisaidia timu.
 
Mi nadhani tunatakiwa tufanye sajili zifuatazo:-

1. Striker - Asajiliwe killer striker ambaye anao uwezo mkubwa wa kumconvert nafasi nyingi tunazotengeneza kuwa magoli.

Jackson yupo comfortable kutokea sub awe msaidizi wa huyo striker mpya.

2. DM:- Lavia ni kimeo kwa timu kubwa kama THE BLUES sio sawa kuwa na mchezaji ambaye muda mwingi yupo nje injury, tunahitaji kiungo mkabaji mzuri ataowafanya Caicedo na Enzo kuwa huru kutembea kwenye mabox yote.

Na ipo wazi anahitajika DM wa kutuliza kiungo na kucover magap wanayoacha Caicedo na Enzo

3. Kipa na CB:- Lipo wazi

4. RB:- Gusto ni mzuri ila bado hana ubora ule unatakiwa kwenye kuisaidia timu kupata matokeo, James kimeo
 
Haya madhaifu mmeyaona baana ya kuanza kupoteza? 🤣🤣🤣 Mashabiki wa chelsea bhn
 
Mabomu yote tuliyo taka kusajili Liverpool mmeyazoa wenyewe 🤣🤣🤣 asanteni sana kwa kumsajili injury prone Romeo Lavia maana angetuletea shida tu huyo
 
Katika game 3 zilizopita nahisi Maresca amezingua hasahasa kwenye swala la maamuzi amekuwa mzito kufanya sub ni tofauti na game za nyuma

jana kulikuwa hakuna haja ya kuanza na Disasi wakat bench una mabeki 3 wa kulia sijui Maresca alikuwa anafikiria nini bado Disasi akawa hovyo ila Maresca bado akaendelea kumuacha mpka dakika ya 77

Kulikuwa hakuna haja ya kuanza na Felix,Palmer,Nkunku wote kwa pamoja maana hapo hakuna anayepress au kutrackback

Kwa aina ya uchezaj wetu Nkunku ataendelea kukaa benchi mbele ya Jackson
 
tatizo mla Chelsea sio wachezaji
Kuna shida kwenye management ya wachezaji na uchezaji
Kuanzia mechi ya Everton Chelsea imeua ile transition yao ambayo iliwafanya kuwa moto wa kuotea mbali EPL
Sasa kilichobaki ni sideways na back passes. Mabeki wanapasiana wenyewe kwa wenyewe
Winga wetu form imeshuka ghafla sijui kwa nini
Mchezaji kama Disasi hana akili ya mpira kabisa, wewe unampasia Neto au Madueke mpira halafu unamuacha apambnane kifyake badala ya kumpatia support ya karibu. Winga zimekufa puu na uwezo wa midfield kufanya transition passes haipo tena. Hiyo ndio ilikuwa siri ya urembo kwa kufunga magoli na kushinda kwetu kila mechi.
Tutamlaumu Nkunku na Jackson bure kabisa ila shida sio yao. Kama wanamisi mipira hata worl class striker anayefunga mabao mengi anamiss magoli.
Bado nasisitiza kocha afanyie kazi mapungufu ya kitaalamu inayofanya timu ishindwe kufanya transition na mawinga wetu washtuliwe ili wacheze kama inavyotakiwa kwa sababu Neto mzuri, Madueke mzuri na Sancho ni mzuri
Kocha p[ia anaweza kujaribu kumchezesha Nkunku na. 10 halafu Palmer acheze RW kama alivyokuwa kwa Pochettino na ilifanya kazi vizuri sana
 
Doing back flips after scoring against Chelsea isn’t a new thing for Omari Hutchinson. Ndo mambo yake hayo.
 
Una james nje na gusto unaenda kuanzisha Disasi pembeni.


Mbele kule umejaza namba kumi watatu

Palmer, felix na nkunku.


Nikaangalia kikosi nikasema hapa sijui..! dkk kumi tu za mwanzo nikajua hapa hatushindi.

Yaani ni kama kocha kafanya kusudi
Kazi ya muhindi hiyo.
 
Utashangaa hata man city nao wakatupita tupo tupo tu
Inauma sana


Tumepoteza point tisa kwenye match ambazo ilibidi tuchukue point zote tisa kama si 7.

Maana game ya fulham ndio kidogo unaweza sema ingekuwa sawa kutusumbua kwanza ni derby pili form yao kidogo iko vizuri.
 
Inauma sana


Tumepoteza point tisa kwenye match ambazo ilibidi tuchukue point zote tisa kama si 7.

Maana game ya fulham ndio kidogo unaweza sema ingekuwa sawa kutusumbua kwanza ni derby pili form yao kidogo iko vizuri.
Yani kuna mda inaleta hasira sana, yani unakuta timu kibonde inatutoa jasho balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…