Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya madhaifu mmeyaona baana ya kuanza kupoteza? 🤣🤣🤣 Mashabiki wa chelsea bhnMi naona shida ipo kwenye management ya wachezaji. Kivipi?
1. Mchezaji caliber ya Nkunku, Felix nadhani waliposajiliwa kwenye mikataba yao kuna kipengele kilianisha wataanza 1st Eleven na sio benchi, mbali na mkataba pengine kocha aliwahidi wakati wa usajili kwamba wataingia kwenye kikosi cha kwanza/watakuwa wachezaji muhimu kwenye kujenga team.
2. Pamoja na kitu tunachoita rotation ya wachezaji, nadhani kuna wachezaji hawapendi hiyo kitu wanaamini uwezo wao ni kuanza kila mechi na sio benchi.
Chakufanya mi Nadhani Felix Na Nkunku wauzwe, wasajiliwe wachezaji ambao wanapambana kuwa world class, tayari kutokea sub na kwenda kuonyesha kiwango kizuri.
Mfano Liverpool na Arsenal always first eleven yao inajulikana kama ni mabadiliko huwa yanakuwa kidogo sana labda mchezaji wa 1st team kupata injury au ana Kadi.
THE BLUES kocha sometimes anapanga Wachezaji kuwafurahisha wachezaji na mashabiki kuondoa manung'uniko. Mfano jana kuwapanga Nkunku na Felix ilikuwa kiushabiki zaidi.
Tunatakiwa kuwa na 1st team ya wachezaji ambayo wamejitosheleza kwa ubora na wachezaji sub wanaopambana kupata nafasi ya kucheza angalau dakika 10 wakaonyeshe uwezo na kuisaidia timu.
Mabomu yote tuliyo taka kusajili Liverpool mmeyazoa wenyewe 🤣🤣🤣 asanteni sana kwa kumsajili injury prone Romeo Lavia maana angetuletea shida tu huyoMi nadhani tunatakiwa tufanye sajili zifuatazo:-
1. Striker - Asajiliwe killer striker ambaye anao uwezo mkubwa wa kumconvert nafasi nyingi tunazotengeneza kuwa magoli.
Jackson yupo comfortable kutokea sub awe msaidizi wa huyo striker mpya.
2. DM:- Lavia ni kimeo kwa timu kubwa kama THE BLUES sio sawa kuwa na mchezaji ambaye muda mwingi yupo nje injury, tunahitaji kiungo mkabaji mzuri ataowafanya Caicedo na Enzo kuwa huru kutembea kwenye mabox yote.
Na ipo wazi anahitajika DM wa kutuliza kiungo na kucover magap wanayoacha Caicedo na Enzo
3. Kipa na CB:- Lipo wazi
4. RB:- Gusto ni mzuri ila bado hana ubora ule unatakiwa kwenye kuisaidia timu kupata matokeo, James kimeo
Kisa umemkosa mkuuu mpka leo bado unamuwaza mwanamke alie kukataaa songa mbele mkuuTafuteni kiungo wa kueleweka. Caicedo ni mchezaji mbovu
Haya madhaifu mmeyaona baana ya kuanza kupoteza? 🤣🤣🤣 Mashabiki wa chelsea
Kazi ya muhindi hiyo.Una james nje na gusto unaenda kuanzisha Disasi pembeni.
Mbele kule umejaza namba kumi watatu
Palmer, felix na nkunku.
Nikaangalia kikosi nikasema hapa sijui..! dkk kumi tu za mwanzo nikajua hapa hatushindi.
Yaani ni kama kocha kafanya kusudi
Inasikitisha sana Chelsea yetuNa atatupita kweli
Kocha alikuwa anajua anachokitafutaKazi ya muhindi hiyo.
Inauma sanaUtashangaa hata man city nao wakatupita tupo tupo tu
Yani kuna mda inaleta hasira sana, yani unakuta timu kibonde inatutoa jasho balaaInauma sana
Tumepoteza point tisa kwenye match ambazo ilibidi tuchukue point zote tisa kama si 7.
Maana game ya fulham ndio kidogo unaweza sema ingekuwa sawa kutusumbua kwanza ni derby pili form yao kidogo iko vizuri.
H ya Ipswich imeniuma sana aiseeYani kuna mda inaleta hasira sana, yani unakuta timu kibonde inatutoa jasho balaa