Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Vina muda bhasiii🤣🤣🤣🤣 Ila man..chelsea na arsenal hizi timu zimejaa utapeli sanaa.
 
Dah Arse8 tulikuwa tumemuacha points kadhaa, baada ya mechi 3 yeye ndio anatutimulia vumbi.

Kweli ukubwa wa kikosi sio kushinda mechi. Hakuna haja ya kusajili tena January tunazingua
Chelsea tuna shida Mahalia, tunarundika tu wachezaji tena wenye uwezo mkubwa lakini tunapata poit moja au tatu kwa tabu sana
 
Kuna mda Maresca ni kama haishi na maneno yake, sio mara moja au mara mbili ashasema Felix,Palmer,Madueke,Nkunku hawawezi kuanza pamoja kwa sababu wote sio wakabaji

Kingine nikuendelea kujitoa akili kukchezesha Disas kama right back wakat una Achaempong ambae ni rb halis

Katika game 3 zilizopita Maresca amezingua maana hata ukiangalia sub zake nizakuchelewa na si kama hapo mwanzo unakuta mchezaj ashazingua tangu first half ila unakuta 2nd half bado anaendelea

Game ya Fulham-Sancho game ilikuwa ishamkataa ila Neto ndie aliyetolewa na Sancho akamaliza dakika 90

Game ya Ipswich disasi game ishamkataa ila kaja kutolewa dakika ya 77 huko
 
Bado Maresca ni mzuri kuliko Pochettino, tuonane Mei 25
 
Na wameshasema Disasi hatauzwa kwa sababu eti ni backup ya beki
Unamuacha Chalobah halafu unamuweka Disasi
 
H ya Ipswich imeniuma sana aisee
Wachezaji wengi wa Ipswich Town hawatapata nafasi Chelsea lakini wametufunga 2-0
Star wao Omar alikosa nafasi kabisa Chelsea ndie anatufunga
Kweli naamini kwenye mpira kuna uchawi
 
Dah Arse8 tulikuwa tumemuacha points kadhaa, baada ya mechi 3 yeye ndio anatutimulia vumbi.

Kweli ukubwa wa kikosi sio kushinda mechi. Hakuna haja ya kusajili tena January tunazingua
tulimuacha point 4 baada ya mechi 3 wametuacha point 4, hata kama hatuko kwenye title race, ila haya matokeo ya point 1 kwenye point 9 haikubaliki tena kwa timu kama Everton, Fulam na Ipswich Town
 
Fofana huenda akawanje kwa msim mzima (Akakosa mechi zote zilizosalia)
Kuna uwezekano Wesley Fofana akakaa tena msimu mzima nje ya uwanja
1) Wesley Fofana
2) Reece James
3) Romeo Lavia
Naona Chelsea ni wakarimu sana na wengine injury prone watatamani sana kuja Chelsea
Kumbe ndio maana Lavia aliikataa Liverkuku akakimbilia Chelsea

View attachment 3191526
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…